Je dawa za kupunguza unene zinaweza kusababisha matatizo ya uzazi?

Nawaonaaa
18879664_1327136944067502_1960408629366489088_n.jpg

Subiri kwanza niweke pozi zuri... Huyu Sakayo nimetoka naye mbali sana bhana.

Usimwambie Numbisa tafazali

1461991157137-jpg.343721
 
Mimi nikupe ushuhuda wangu miezi miwili ilopita nilikuwa Na uzito wa wastani wa 70 - 75 kg lakini leo nimepita 56 kg lakini shughuli Yake si ya kitoto, Na bado napambana haswa ! Yani baada ya muda itabidi nifanye shopping ya Nguo zote ! Nakutia moyo inawezekana kupungua ukiweka nia! Lakini mwenzio shuhuli yangu ni kula Matango tena nikikupa formula utashangaa
Msada wa formula ya matango
 
Nimefanya jitihada za kujipunguza uzito ila naona nimeshindwa nazidi tu kuongezeka siku baada ya siku. Wenzangu wakiongeza mahela mimi naona naongeza kilo.

Mazoezi nafanya kidogo naacha naona uvivu. Chakula naacha najikuta nimerudia tena tuseme ukweli jamani hakuna asiependa vitu vitamu, nitakula malimao mpaka lini? Ni adhabu kuishi kwa diet acheni tu.

Natamani kutumia madawa ya kupunguza uzito ila naogopa yasije yakaniathiri mfumo wangu wa uzazi.

Naombeni ushauri haya madawa ya kupunguza mwili yana shida yoyote kwenye uzazi?

Asanteni

Upate dume teja la puchi utakonda tu shangazi
 
Msada wa formula ya matango

Iko hivi asubuhi tango moja , au nusu tango, nusu carrot na nusu nyanya , mchana vivyo hivyo na jioni, ukichoka kuvila kati ya mlo wowote unaweza kula ndizi mbivu moja au mbili, au Mayai 2 ya kuchemsha, au pakti ya mtindi moja tu au Samaki in any form! Hizo au au ni alternative to! Au unakula mboga za majani nyingi kidogo basi hasa Kwa jioni huo unakuwa ndo mlo wako wa usiku! Matango yasikosekane Kwenye friji wakati wote! Epuka kula mlo kati ya mlo!
 
Kupungua uzito kunahitajika support ya family members, la sivyo watakuwa wanakushawishi ule Kama wao , Mimi ilibidi niwashirikishe nitake support Yao ktk hili badae ndo walikuja kunielewa! Halafu ukienda Kwa Watu usione aibu kuwaambia umeshiba au kuchukua kachakula kadogo tu au mboga ya majani tu ukala! Nimejifunza Kumbe kushiba au kuto kushiba haiko ktk volume ya Chakula ulichokula bali akili yako umeilazimisha kuiambia utashiba Kwa tango moja tu Kwa wakati huu n.k! Maji ya kunywa naweza kusema ni lazima hii mambo ninayosema zamani Kabla ya kujitambua eneo hili na kuzamilia kupungua haikuwa rahisi Mimi kula Matango haikuwa rahisi kunywa Maji mengi, haikuwa rahisi kulala bila kula, Ofisini walikuwa wananishangaa Kwa kula Matango nilipoanza kupungua ndo hivyo,
 
Mimi Lengo langu ni zaidi ya kupungua infact nataka kukonda kabisa halafu ndo najiweka Sawa to the most minimum BMI range of mine! Na nimeanza kijisikia wepesi ktk mambo mengi ya ki mifumo!
 
Nilishasahau kula wali/ubwabwa na mboga yoyote , Kati wapenzi wa ugali na Mimi Nimo lakini nilishasahau kula maugali, mihogo nilisha sahau vyakula vyote rasmi milo mikuu nilishasahau , sanasana Mimi wakipika wali Samaki au Kuku nachukua Samaki wangu au kipande changu cha Kuku nakula basi ndo mlo wangu huo Kwa wakati huo! Fresh juisi ni muhimu kutumia, tuma Mtu Kariakoo au buguruni n.k shopping kila week , weka Mtu wa kutengeneza ilibidi niache ubahili , kupungua uzito laweza kuwa na gharama kiasi flani Ila Kama unania inawezekana tu!
 
Wachina na wazungu na wajapani, wakorea etc wako vikonda siyo Kwa sababu yoyote ile isipokuwa wako ktk kuzingatia kanuni za afya! Mchina Kwa mfano hata tatizo la kiafya, ni chikonda lakini anakula nyanya mbichi, anatafuna vitunguu swaumu kila wakati unazani Kwa nini?
 
Kifupi nimepambana ni juhudi mtambuka nimekuwa nikizifanya hata leo, nimekula chai za tangawizi na asali na misalasini wee acha tu
 
Mambo ya kutembea na Magari nilishaacha zamani nilikuwa na paki tu na kui washa kila mwisho wa wiki badae tukaamua kumpa shemeji moja aitumie! Asubuhi tu ndo naenda job Kwa Gari kurudi ni Kwa TZ11 mwendo wa takriban 4-5 KM kila jioni,
 
Back
Top Bottom