Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,805
Nilimsikia Dk flani anaitwa Kweka simjui Kwa sura ana kipindi kila Jumatatu kuanzia nazani saa moja na nusu au mbili kasoro asubuhi redio Magic fm nazani aliongea Kwa mzigo kuhusu waTZ tunavyotakiwa kubadili mitindo yetu ya maisha! Akasema Siku hizi madaktari hawastuki kuona wagonjwa wa HIV Labda wenyewe waamue kuto kunywa Dawa , lakini madokta wengi concern Yao wengi Siku hizi hustushwa na magonjwa yasiyoambukiza ambayo yanaepukika na kutibika Kama mgonjwa aliwahi kwenda hospital , kisukari na BP