Je bado kuna Waafrika wenye akili wanaoamini kuwa Uislam na Ukristo ndiyo dini za kweli za Mungu?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Nov 30, 2022
1,477
1,410
Je nyie Waafrika mnaojioma kuwa mko.sahihi mmewahi kujiuliza kwa nini MUNGU alete ukristo au uislam tu kwa WAAFRIKA na asiwaletee dini za Hindu, Buddha, Confucianism, Taoism, Uyahud,nk?

Kama siyo UJINGA wa Wafia dini ni Mungu gani wa hivyo alete wazungu na warabu tu kuja kwa waafrika kuwaandaa warudi mbinguni je hao watu wengine itakuwaje?Mungu jataki warudi mbinguni??

Kama uislam na ukristo zingekuwa dini za kweli zilizoletwa na Mungu kwaajili ya kuwakomboa watu wote duniani kwanini hazikutawala au hakuzitawanya duniani kote kwa watu wote na kwa wingi kama zilivyosambaa Afrika?

Ujinga ukizidi ni dhambi
 
Back
Top Bottom