Papupi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,028
- 3,242
Thamani ya pesa iko juu?.. pesa ipi unayozungumzia?wewe huoni ?1:heshima kazini(nidhamu)
2:kukomesha dili za matapeli na ufisadi
3:kaleta nidhamu katika mausiano (kwenye familia watu warudi nyumbani mapema)
4:Thamani ya pesa iko juu
5:ndege air tanzania
6:kapunguza kukopa nje hivyo kutokuongeza deni la taifa
7:kapunguza idadi ya vitambi mjini
8:kuongezeka kwa ukusanyaji wa kodi na pato kwa taifa
9:daraja la kigamboni
10 elimu bure
matarajio
9: uboreshaji wa njia ya reli kwa kiwango cha standard gauge( tayari mradi umeanza)
10:ujenzi wa viwanja vya ndege hivyo kufungua njia ya kutoka na kuingia duniani
11:ujenzi wa makutano ya kisasa ya barabara hadi urefu wa mita 14 urefu kwenda juu pale ubungo tayari mradi umeanza.
12:ujenzi wa fly over pale tazara tayari ujenzi umeanza
13:uchimbaji wa gesi mtwala
14: barabara na mabasi ya mwendo kasi tayari mradi unafanya kazi
15:nimechoka bhana mengine utaongeza wewe na ni ndani ya mwaka mmoja