Jambo gani jipya kabisa alilolifanya Rais Magufuli?

Magu ana mwaka wa pili yupo Ikulu lakini hajui jinsi Ulaya wala America zilivyo......totally strange.
 
Mimi sipendagi unafiki hivi kama unafanya kazi na unapokea mshahara kama kawaida ulitaka magufuli aje akuwekee pesa mfukoni?pale TRA siwez kusahau watu walikuwa wanaingia kwa kujuana but Mungu alivyo mkuu sasa hivi kama huna sifa huingiii n kwl Nina ushahid. Nchi za wenzetu wazungu wanafanya kaz wanalipa kodi hawagandamizan hat a kama wanapiga dili siyo kwa kiwango chetu ndio maana kila siku huko ulaya wanaongoza kiuchumi sisi ni shida mwanzo mwenga keki ya taifa wanataka kugawana watu kumi kati ya elfu mbili sasa amekuja wa kuwabana keki irudi kwa wote
 
wewe huoni ?1:heshima kazini(nidhamu)
2:kukomesha dili za matapeli na ufisadi
3:kaleta nidhamu katika mausiano (kwenye familia watu warudi nyumbani mapema)
4:Thamani ya pesa iko juu
5:ndege air tanzania
6:kapunguza kukopa nje hivyo kutokuongeza deni la taifa
7:kapunguza idadi ya vitambi mjini
8:kuongezeka kwa ukusanyaji wa kodi na pato kwa taifa
9:daraja la kigamboni
10 elimu bure

matarajio
9: uboreshaji wa njia ya reli kwa kiwango cha standard gauge( tayari mradi umeanza)
10:ujenzi wa viwanja vya ndege hivyo kufungua njia ya kutoka na kuingia duniani
11:ujenzi wa makutano ya kisasa ya barabara hadi urefu wa mita 14 urefu kwenda juu pale ubungo tayari mradi umeanza.
12:ujenzi wa fly over pale tazara tayari ujenzi umeanza
13:uchimbaji wa gesi mtwala
14: barabara na mabasi ya mwendo kasi tayari mradi unafanya kazi
15:nimechoka bhana mengine utaongeza wewe na ni ndani ya mwaka mmoja

Mwambie huyo!!anajifanya kipofu,atumie hata masikio
 
Wewe ndo hauko tz labda unaambiwa ... Hivi umemuelewa muweka maada mezani!?
 
Ajira, kilimo, afya, elimu,maji na uchumi huyu jamaa hakuna LA maana alilolifanya isipokuwa ameongeza maumivu yaliyokithiri. Kwangu mm naona hakuna kilichobadilika kwenye hizo sehemu tano ila ni porojo nyingi na maigizo ya hapa na pale.
Hii hoja naomba uiandikie thread niko nyuma yako kuisapot
 
Mimi sipendagi unafiki hivi kama unafanya Nazi na unapokea mshahara kama kawaida ulitaka magufuli aje akuwekee pesa mfukoni?pale TRA siwez kusahau watu walikuwa wanaingia kwa kujuana but Mungu alivyo mkuu sasa hivi kama huna sifa huingiii n kwl Nina ushahid. Nchi za wenzetu wazungu wanafanya kaz wanalipa kodi hawagandamizan hat a kama wanapiga dili siyo kwa kiwango chetu ndio maana kila siku huko ulaya wanaongoza kiuchumi sisi ni shida mwanzo mwenga keki ya taifa wanataka kugawana watu kumi kati ya elfu mbili sasa amekuja wa kuwabana keki irudi kwa wote
Hongera kwa kueleza unachokijua!!
 
Miradi kibao inaendelea mikoani! Hata hivyo mwaka mmoja na miezi mitatu ni muda mfupi sana kutathimini alichokifanya. Tumpe muda angalau miaka mitatu
 
alichokifanya yeye na hamna rais mwingine amewai kukifanya, ni kuwa na mahaba yaliyopitiliza kwa mwanaume mwenzei kuliko hata mkewe, hadi wananchi wake waliomuweka madarakani amewakana

[HASHTAG]#bashitebringyourcertificates[/HASHTAG]
 
Sijuwi nchi za nnje zinasema nini kuhusu tanzania yangu.
Raisi wetu alipo ingia madarakani kila nchi inamtaka aende akasafishe wachafu wao ..Sasa naona kimyaaaaa kimezidi.
Watu ha wako na furaha ya maisha .biashara hazendi ma tajiri wa zamani hawali mali mpya.
 
Kumuanda Bashite kwa umakini na ukaribu wa kipekee kuwa Rais wa sita wa Jamhuri.
 
wewe huoni ?1:heshima kazini(nidhamu)
2:kukomesha dili za matapeli na ufisadi
3:kaleta nidhamu katika mausiano (kwenye familia watu warudi nyumbani mapema)
4:Thamani ya pesa iko juu
5:ndege air tanzania
6:kapunguza kukopa nje hivyo kutokuongeza deni la taifa
7:kapunguza idadi ya vitambi mjini
8:kuongezeka kwa ukusanyaji wa kodi na pato kwa taifa
9:daraja la kigamboni
10 elimu bure

matarajio
9: uboreshaji wa njia ya reli kwa kiwango cha standard gauge( tayari mradi umeanza)
10:ujenzi wa viwanja vya ndege hivyo kufungua njia ya kutoka na kuingia duniani
11:ujenzi wa makutano ya kisasa ya barabara hadi urefu wa mita 14 urefu kwenda juu pale ubungo tayari mradi umeanza.
12:ujenzi wa fly over pale tazara tayari ujenzi umeanza
13:uchimbaji wa gesi mtwala
14: barabara na mabasi ya mwendo kasi tayari mradi unafanya kazi
15:nimechoka bhana mengine utaongeza wewe na ni ndani ya mwaka mmoja
Number 4 umesema thamani ya pesa ipo juu, really are you serious?
 
Nimecheka sana kuna taahira hapo juu eti linasema amepunguza kukopa nje! Sina uhakika kama lina taarifa sahihi hili! Mimi jipya ambalo nampongeza nalo ni hili la kumlinda Bashite hadharani!
 
wewe huoni ?1:heshima kazini(nidhamu)
2:kukomesha dili za matapeli na ufisadi
3:kaleta nidhamu katika mausiano (kwenye familia watu warudi nyumbani mapema)
4:Thamani ya pesa iko juu
5:ndege air tanzania
6:kapunguza kukopa nje hivyo kutokuongeza deni la taifa
7:kapunguza idadi ya vitambi mjini
8:kuongezeka kwa ukusanyaji wa kodi na pato kwa taifa
9:daraja la kigamboni
10 elimu bure

matarajio
9: uboreshaji wa njia ya reli kwa kiwango cha standard gauge( tayari mradi umeanza)
10:ujenzi wa viwanja vya ndege hivyo kufungua njia ya kutoka na kuingia duniani
11:ujenzi wa makutano ya kisasa ya barabara hadi urefu wa mita 14 urefu kwenda juu pale ubungo tayari mradi umeanza.
12:ujenzi wa fly over pale tazara tayari ujenzi umeanza
13:uchimbaji wa gesi mtwala
14: barabara na mabasi ya mwendo kasi tayari mradi unafanya kazi
15:nimechoka bhana mengine utaongeza wewe na ni ndani ya mwaka mmoja
Bashite .com
 
Wakuu,

Naomba kujuzwa jambo / mambo jipya au mapya kabisa aliyoyafanya Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli, ambalo amelianzisha yeye na kulifanya.

Nadhani mambo mengi ameyakuta aidha yapo kwenye chain, au yameshataka kuanzishwa ila yapo stage ya chini kabisa, sasa yeye anafanya muendelezo wa aliyoyakuta na sifa zinamuendea yeyeq.

Naomba kujuzwa kipi ni cha yeye kujivunia kwmb ni KIPYA mpaka sasa, hasa mimi ambaye sio mfuatiliaji wa mambo ya siasa

Standing on the shoulders of the giants Isaac Newton, ulishawahi kuusikia huu msemo? Jibu ni kwamba ni kwa nini aanzishe jambo jipya? Kwani Magufuli ni Superhuman? Kwa maana nijuavyo mimi hakuna bindamu mwenye huo uwezo, wote unaowasikia ni maarufu huendeleza pale walipoachia aliowakuta na hii ni kuanzia kwenye Sayansi, Siasa au hata Sheria za nchi, hivyo nashindwa kuelewa mantiki ya swali lako!
 
Wakuu,

Naomba kujuzwa jambo / mambo jipya au mapya kabisa aliyoyafanya Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli, ambalo amelianzisha yeye na kulifanya.

Nadhani mambo mengi ameyakuta aidha yapo kwenye chain, au yameshataka kuanzishwa ila yapo stage ya chini kabisa, sasa yeye anafanya muendelezo wa aliyoyakuta na sifa zinamuendea yeyeq.

Naomba kujuzwa kipi ni cha yeye kujivunia kwmb ni KIPYA mpaka sasa, hasa mimi ambaye sio mfuatiliaji wa mambo ya siasa

Kaumba dunia.

Rais yupi dunia hii unaemjuwa wewe aliyefanya kipya?
 
Back
Top Bottom