Jamani Miss natafuta

Nadhani tuwaombe waweke utaratibu rafiki .sio kwa hili Tu .mara moja moja kwa umoja wetu tunaweza kufanya kitu kugusa jamii.ujue hata Mimi sikupendakuchangisha sema wadau wengi walitaka kunipa hela.
Ni jambo jema wakianzisha jukwaa la kusaidia jamii

Wawe kama njia panda au sita sahau, wao watafanya tafiti kama hao watu wanafaa kusaidika na waweze kufanya kitu pamoja na kusimamia sera zao

Naona ni vyema kuelekea mwisho wa mwaka wakusanye mawazo ya wadau wao na kuyafanyia kazi kwa mwaka unao kuja

Wanaweza kuanzisha majukwaa ndani yake kama jukwaa la jamii check nk...

Hakuna kinachoshindikana ikizingatiwa JF ni NGO kama sijakosea...
 
Kweli mkuu.nadhani mods watafanyia kazi.sio lazima kumpa mtu hela .ata wananunua vitu vinapelekwa hosp kwa wale waliokaa muda mrefu.
Just imagine mtu yupo hosptal miezi sita
 
Jamani huyu mrembo wangu kapotelea wapi? Hata kwenye simu cimpati kabisa
Miss Natafuta popote Ulipo.. You are missedView attachment 3130692
Ana bahati sana aliyemuoa huyo mwanamke.

Iwe thread iwe comments zake hakeri haboi.

Nadhani ana elimu kubwa sana, sivyo kazaliwa mikoa ya pwani yenye wanawake wanaojua ku care pamoja na mapenzi, ama vyote kwa pamoja.

Yupo vizuri mno huyo kimwana, Mshana una haki ya kum miss aloo.
 
Ana bahati sana aliyemuoa huyo mwanamke.

Iwe thread iwe comments zake hakeri haboi.

Nadhani ana elimu kubwa sana sivyo kazaliwa mikoa ya pwani yenye wanawake wanaojua ku care pamoja na mapenzi, ama vyote kwa pamoja.

Loooh mkuu Mimi kweli? Am.just an ordinary person bna.sema. Napenda Tu watu .napenda Amani na furaha.maisha ni haya haya. Tupendane Tu yaani.
 
Ana bahati sana aliyemuoa huyo mwanamke.

Iwe thread iwe comments zake hakeri haboi.

Nadhani ana elimu kubwa sana sivyo kazaliwa mikoa ya pwani yenye wanawake wanaojua ku care pamoja na mapenzi, ama vyote kwa pamoja.

Yupo vizuri mno huyo kimwana, Mshana una haki ya kum miss aloo.
Yupo vizuri mno huyo kimwana, Mshana una haki ya kum miss aloo❤❤❤
Ila kasema ndumba zangu hazijamsaidia kupata bwana,🤣😭
 
Back
Top Bottom