Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,270
- 50,705
Ila ubarikiwe sana Hadi kuku WA majirani waje Watage kwako .OK hamna tatizo mtumishi
Amuhurumiaye maskini anamkopesha Mungu nae atamlipa kwa tendo lake jema
Ila ubarikiwe sana Hadi kuku WA majirani waje Watage kwako .OK hamna tatizo mtumishi
Huyu figo zimefeli😁nitumie picha zako 🥺🥺🥺 mimi ? Au yeye.. Kama ni yeye hii hapaView attachment 3130734
Ni jambo jema wakianzisha jukwaa la kusaidia jamiiNadhani tuwaombe waweke utaratibu rafiki .sio kwa hili Tu .mara moja moja kwa umoja wetu tunaweza kufanya kitu kugusa jamii.ujue hata Mimi sikupendakuchangisha sema wadau wengi walitaka kunipa hela.
Ahaaaaa looh.unataka k mkuu??Ebu njoo PM unigawie moja...😋
Njoo kwangu utaoga maziwa mkuu...😛Mimi ni usher wake sema siku hizi Niko kwa mwamposa Hadi nipate mume.mshana Hana miujiza ya mume.nimeoga chumvi Hadi nimebabuka
Kweli mkuu.nadhani mods watafanyia kazi.sio lazima kumpa mtu hela .ata wananunua vitu vinapelekwa hosp kwa wale waliokaa muda mrefu.Ni jambo jema wakianzisha jukwaa la kusaidia jamii
Wawe kama njia panda au sita sahau, wao watafanya tafiti kama hao watu wanafaa kusaidika na waweze kufanya kitu pamoja na kusimamia sera zao
Naona ni vyema kuelekea mwisho wa mwaka wakusanye mawazo ya wadau wao na kuyafanyia kazi kwa mwaka unao kuja
Wanaweza kuanzisha majukwaa ndani yake kama jukwaa la jamii check nk...
Hakuna kinachoshindikana ikizingatiwa JF ni NGO kama sijakosea...
Maziwa mazito au mepesi.maana Ku a maziwa hakii wameweka maji.halafu ukute huyo ngombe ana UTI.aisee utakoma.Njoo kwangu utaoga maziwa mkuu...😛
Ndio bro😅Hiyo mikono ama?😁
Ana bahati sana aliyemuoa huyo mwanamke.Jamani huyu mrembo wangu kapotelea wapi? Hata kwenye simu cimpati kabisa
Miss Natafuta popote Ulipo.. You are missedView attachment 3130692
Una bahati zaidi, sisi tumezoea ipo moja😀😀😀😀Nanukuu.... me mwanamke kabisa Nina k mbili... Miss Natafuta
Loooh mkuu Mimi kweli? Am.just an ordinary person bna.sema. Napenda Tu watu .napenda Amani na furaha.maisha ni haya haya. Tupendane Tu yaani.Ana bahati sana aliyemuoa huyo mwanamke.
Iwe thread iwe comments zake hakeri haboi.
Nadhani ana elimu kubwa sana sivyo kazaliwa mikoa ya pwani yenye wanawake wanaojua ku care pamoja na mapenzi, ama vyote kwa pamoja.
Yupo vizuri mno huyo kimwana, Mshana una haki ya kum miss aloo.
Yupo vizuri mno huyo kimwana, Mshana una haki ya kum miss aloo❤❤❤Ana bahati sana aliyemuoa huyo mwanamke.
Iwe thread iwe comments zake hakeri haboi.
Nadhani ana elimu kubwa sana sivyo kazaliwa mikoa ya pwani yenye wanawake wanaojua ku care pamoja na mapenzi, ama vyote kwa pamoja.
Yupo vizuri mno huyo kimwana, Mshana una haki ya kum miss aloo.
Za kawaida ni mbili kubwa na ndogo yeye atakuwa
Au unaniloga ujisevie mwenyewe?? Maana nimeoga chumvi ya mawe Hadi kokoto wapiii??Yupo vizuri mno huyo kimwana, Mshana una haki ya kum miss aloo❤❤❤
Ila kasema ndumba zangu hazijamsaidia kupata bwana,🤣😭
Sio kama wewe mkuu.una upendo sana yaani.sema vile siku hizi sipendi mahusiano .ningepita na weweWewe ni mwema sana