Hatuna vipaumbele
Kwani Fastjet ameshaondoka madarakani? Kile anachokatazwa ndiyo anachofanya.mkisema safari za Rais nje ya nchi ni nyingi ndiyo anaenda mara nyingi zaidi.Cha muhimu ni kuzungumza the opposite.Jamani wana JF.. Mpaka muda huu sijaamini nilichokiona asubuh hii muda mfupi uliopita. Nipo kwenye daladala natokea mwenge nakwenda job posta, daladala niliyopanda inatokea mwenge kwenda posta kwa kutumia barabara ya Alli Hassani Mwinyi, tumefika kwenye mataa pake kona ya kwenda Oyesterbay na nyingine kinondoni tulisimama kidogo, nimeona gari aina ya Range Rover Vogue ina plate namba za serikali STK ikitoka Oyesterbay inaelekea town. Jaman mpaka muda huu cjaamini kama kwel serikali imeanza kutumia aina hyo ya gari za bei mbaya kwa watumishi wake. Jaman kama kuna mwingine aliyeiona tena au mwenye kufahamu atuambie..
Jamani wana JF.. Mpaka muda huu sijaamini nilichokiona asubuh hii muda mfupi uliopita. Nipo kwenye daladala natokea mwenge nakwenda job posta, daladala niliyopanda inatokea mwenge kwenda posta kwa kutumia barabara ya Alli Hassani Mwinyi, tumefika kwenye mataa pake kona ya kwenda Oyesterbay na nyingine kinondoni tulisimama kidogo, nimeona gari aina ya Range Rover Vogue ina plate namba za serikali STK ikitoka Oyesterbay inaelekea town. Jaman mpaka muda huu cjaamini kama kwel serikali imeanza kutumia aina hyo ya gari za bei mbaya kwa watumishi wake. Jaman kama kuna mwingine aliyeiona tena au mwenye kufahamu atuambie..
I am sure hili gari ni la watu wa usalama kila siku around saa kumi na mbili na nusu asubuhi hutoka kwa wazee wa kung'oa kucha pale makumbusho na kuelekea oysterbay. Nimeiona mara kadhaa ikiwa na namba tofauti lakini dereve yule yule. Walivyo wapuuzi plate number mara nyingi wanaegesha tu juu ya nyingine labda uvivu wa kufungua funga na mtu mdadisi ataNotice tu kuwa siyo.. Kama namba sio STK huwa na B.. something sikumbuki vizuri.
Hawa wana mafuta ya kumwaga na barabara pia za magari hayo zipo!!Police in Dubai..
Kwani hii Je!!
![]()
![]()
Jamani wana JF.. Mpaka muda huu sijaamini nilichokiona asubuh hii muda mfupi uliopita. Nipo kwenye daladala natokea mwenge nakwenda job posta, daladala niliyopanda inatokea mwenge kwenda posta kwa kutumia barabara ya Alli Hassani Mwinyi, tumefika kwenye mataa pake kona ya kwenda Oyesterbay na nyingine kinondoni tulisimama kidogo, nimeona gari aina ya Range Rover Vogue ina plate namba za serikali STK ikitoka Oyesterbay inaelekea town. Jaman mpaka muda huu cjaamini kama kwel serikali imeanza kutumia aina hyo ya gari za bei mbaya kwa watumishi wake. Jaman kama kuna mwingine aliyeiona tena au mwenye kufahamu atuambie..
Mbona ni za Mkulu, huwa anatumia akiwa na safari za Bagamoyo na akiwa na safari ndefu ndio upanda V8.
Kama ni kweli basi tulipofika hapaelezeki. Serikali ya kikwete inayoitwa sikivu inamsikiliza nani? Wametafuna kodi zetu kwa ajili ya mafuta ya ma V8 wameona haiotoshi na sasa wameamua kununua hayo majini. Hivi kuna raha gani kwa serikali kuoperate kifahari namna hiyo wakati inaowaongoza hata panadol hawawezi kuafford? Hivi hamfeel guilty kupita na hiyo mivogue yenu kwenye huu umaskini uliotukuka? Shame on you!
Yani kiukweli bado naumia tu moyoni,unajua inachoma sana.