Jamani.. Jamani, serikali imeanza kutumia RANGE ROVER VOGUE kama STK..!?

Ile nakisi ya kwenye deni la taifa ndo tulinunua haya magari. Kuna mengine bado hatujayatoa DT Dobie, next week tutakuwa tumeshayatoa. Haya ni maalum kwa ajili ya wake wa mawaziri na manaibu waziri. Ahsanteni
 
"Ikulu sio mahali pa kukimilia ukiona mtu anakimbilia pale unatakiwa umuogope" Ni full kujiachia,yale ma-BMW X5 yana-cover motorcade ya mkuu umeshawahi kujiuliza kaka yananyonya wese la kiasi gani+service zake nk? Haya bana nchi ni yao waache wafanye watakavyo hapo wanaonjesha tu hizo Vogue soon usije shangaa wamemwaga ma-RangeRover sport.
 
Jamani wana JF.. Mpaka muda huu sijaamini nilichokiona asubuh hii muda mfupi uliopita. Nipo kwenye daladala natokea mwenge nakwenda job posta, daladala niliyopanda inatokea mwenge kwenda posta kwa kutumia barabara ya Alli Hassani Mwinyi, tumefika kwenye mataa pake kona ya kwenda Oyesterbay na nyingine kinondoni tulisimama kidogo, nimeona gari aina ya Range Rover Vogue ina plate namba za serikali STK ikitoka Oyesterbay inaelekea town. Jaman mpaka muda huu cjaamini kama kwel serikali imeanza kutumia aina hyo ya gari za bei mbaya kwa watumishi wake. Jaman kama kuna mwingine aliyeiona tena au mwenye kufahamu atuambie..
Kwani Fastjet ameshaondoka madarakani? Kile anachokatazwa ndiyo anachofanya.mkisema safari za Rais nje ya nchi ni nyingi ndiyo anaenda mara nyingi zaidi.Cha muhimu ni kuzungumza the opposite.
 
Police in Dubai..
Jamani wana JF.. Mpaka muda huu sijaamini nilichokiona asubuh hii muda mfupi uliopita. Nipo kwenye daladala natokea mwenge nakwenda job posta, daladala niliyopanda inatokea mwenge kwenda posta kwa kutumia barabara ya Alli Hassani Mwinyi, tumefika kwenye mataa pake kona ya kwenda Oyesterbay na nyingine kinondoni tulisimama kidogo, nimeona gari aina ya Range Rover Vogue ina plate namba za serikali STK ikitoka Oyesterbay inaelekea town. Jaman mpaka muda huu cjaamini kama kwel serikali imeanza kutumia aina hyo ya gari za bei mbaya kwa watumishi wake. Jaman kama kuna mwingine aliyeiona tena au mwenye kufahamu atuambie..

Kwani hii Je!!
Ava_inside2.jpg
lamborghini-aventador-dubai.jpg
 
I am sure hili gari ni la watu wa usalama kila siku around saa kumi na mbili na nusu asubuhi hutoka kwa wazee wa kung'oa kucha pale makumbusho na kuelekea oysterbay. Nimeiona mara kadhaa ikiwa na namba tofauti lakini dereve yule yule. Walivyo wapuuzi plate number mara nyingi wanaegesha tu juu ya nyingine labda uvivu wa kufungua funga na mtu mdadisi ataNotice tu kuwa siyo.. Kama namba sio STK huwa na B.. something sikumbuki vizuri.

Umegusa,gar ni multi kila kona inapiga kazi.
 
wanachezea pesa za watanzania,wakiulizwa bungen kuhusu kutofanyika kwa miradi iliyopangwa utawasikia "tunafanya upembuzi yakinifu" sisi tunazidishiwa ukali wa maisha kila leo,kaz ipo!
 
Angalau ni-argue kijinga.
Sio ajabu serikali kutumia Range Rover, PM Pinda si alikataza wasitumie Mashangingi-VX and the like?
 
Wapige mnada wanunue Suzuki maana hata gharama za mafuta ni janga kubwa sembuse spare parts
 
liko moja anatembelea Jaji Kiongozi
ila wanadai ni used, sina hakika kama ni used
 
Jamani wana JF.. Mpaka muda huu sijaamini nilichokiona asubuh hii muda mfupi uliopita. Nipo kwenye daladala natokea mwenge nakwenda job posta, daladala niliyopanda inatokea mwenge kwenda posta kwa kutumia barabara ya Alli Hassani Mwinyi, tumefika kwenye mataa pake kona ya kwenda Oyesterbay na nyingine kinondoni tulisimama kidogo, nimeona gari aina ya Range Rover Vogue ina plate namba za serikali STK ikitoka Oyesterbay inaelekea town. Jaman mpaka muda huu cjaamini kama kwel serikali imeanza kutumia aina hyo ya gari za bei mbaya kwa watumishi wake. Jaman kama kuna mwingine aliyeiona tena au mwenye kufahamu atuambie..

Kwani Range Rover Vogue unadhani kunatofauti kubwa ya bei na Toyota Landcruiser VX V8 hizo ni mjomba na shangazi eti. Inauma sana mkuu nchi ya maskini lakini matumizi ndiyo hayo na kwa kweli huwa sielewi mtu wa kawaida anapounga mkono utawala wa CCM.
 
Mbona ni za Mkulu, huwa anatumia akiwa na safari za Bagamoyo na akiwa na safari ndefu ndio upanda V8.

Kama ni kweli basi tulipofika hapaelezeki. Serikali ya kikwete inayoitwa sikivu inamsikiliza nani? Wametafuna kodi zetu kwa ajili ya mafuta ya ma V8 wameona haiotoshi na sasa wameamua kununua hayo majini. Hivi kuna raha gani kwa serikali kuoperate kifahari namna hiyo wakati inaowaongoza hata panadol hawawezi kuafford? Hivi hamfeel guilty kupita na hiyo mivogue yenu kwenye huu umaskini uliotukuka? Shame on you!

Hiyo ni aina gani ya gari?
 
Polisi wanayo,jeshi wanazo kadhaa,mambo ya nje wanazo hizo Vogue!na pia Land Rover Discovery V8 Polisi pia wanazo
 
Yani kiukweli bado naumia tu moyoni,unajua inachoma sana.

ha ha ha ha ha ha ha mkuu kwa michakato ya hapa kwetu bongo mbona moyo wako utapata matundu kibao maana kila ishu inayotokea serikarini inachoma sana aisee....he he he he he he
 
Mkuu angalia kwamacho,ukidadis sana utapewa kesi,hayo magar yakifahar nimengi mnnooo nayaona -------.nakupa mfano aliekataza hayo magar aliyatumia kama 8hv kwenda kwenye HARUSI.yakigogo mmja bungen mzee inauma ucpime tukutane 2015 kwa mabadiliko.la sivyo tutafika hoiiiiii...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom