Jamani hodiii..!! Nikaribisheni mwenzenu nitoe dukuduku langu...

Mla Mbivu

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
224
48
heshima kwenu wana jf, hivi humu ndani nikitaka kusema kitu kilicho moyoni, ambacho kina wagusa kina nanihii hakuna ma cia na ma fbi watakao ni track??? Naogopa kuangukiwa na jumba bovu mwenzenu!!!
 
karibu....unaweza kusema chochote coz JF iz where we dare to talk openly....but hey.....kuna sheria zake ambazo unatakiwa uzifuate....hao kina nanihii ambao unataka kuwagusa...pls be careful
 
Mie mwenyewe ni member mpya ila napenda ila ilinilazimu nisome sheria kwanza. Meza hizi mwanetu usije kula BAN!!!!!! Karibu mgeni mwenzangu
 
Use strategic language to deliver the message without printing words with a hot red iron on the face of dictators cz when they feel pain, they will cut your hand.

Kumbuka kuwa Paka hakubali kulazwa chali mpaka pale akiwa kataka mwenyewe au akiwa anafanya mavituz na mwenzake ndivyo ilivyo kwa mafisadi wanaofuatilia mjengo wa JF hawakubali kulazwa chali au kujambishwa.

Humu pia yumo Spika akigonga rungu lake lazima ukae chini la sivyo unatolewa mjengoni au utatoka mwenyewe kwa hasira.

Welcome Sir/or madam and feel free to give your opinion
 
toa duku duku tu,ila liwe ndani ya sheria za humu otherwise utapewa "kifungo" cha jf "burn" wanaita wenyeji
 
heshima kwenu wana jf, hivi humu ndani nikitaka kusema kitu kilicho moyoni, ambacho kina wagusa kina nanihii hakuna ma cia na ma fbi watakao ni track??? Naogopa kuangukiwa na jumba bovu mwenzenu!!!

Basi hufai kuja hapa, nenda sehemu nyingie kama Clouds FM, Uhuru na Mzalendo, Daily News n.k.

lakini karibu:sorry::blah::bump::closed_2::lalala::banplease:
 
Basi hufai kuja hapa, nenda sehemu nyingie kama Clouds FM, Uhuru na Mzalendo, Daily News n.k.

LOL... KWA HIYO NDUGU JAFARI UNAMAANISHA HUKO KWA KINA CLOUDS FM etc NDIKO AMBAKO WATU WANAZUNGUMZA MAMBO YANAYOWAGUSA KINA "NANIHII" HALAFU HAWACHAKACHULIWI WALA KUWA TRACKED? FAFANUA KIDOGO...
 
wewe acha usanii!kwa nini unaingia kwanza alafu baadaye ndiyo unapiga hodi huo ndiyo ustaharabu gani?wewe ni kabila gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom