Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,690
- 2,325
Jifunze kuandika. Weka paragraph, Aya. Vituo. Usiwe kama unaharisha tu. Heshimu wasomaji wako.Wala Tatizo siyo samia tatizo ni mifumo yetu yakusimamia nchi. Rais anakuwa kama vile hakuchaguliwa na wananchi. Wala haangalii vipaumbele vya wananchi fedha nyingi zinakwenda kwenye Bunge ziara posho na vitu kibao visivyo na msingi. Bajeti ta trilioni 40 unakuta zote zinaishia kulipana mishahara na posho.kununua magari ya kifahali na misafara mikubwa katka ziara za viongozi. Nchi kama nchi kila kukicha inasinyaa lakini baadhi ya watumishi wa uma hasa wakisIasa wananeemeka na kuzidi kutajirika. Hii ndiyo sababu wanahakikisha kwa njia yoyote hata kwa kuua wabaki madarakani. Unadhani nini kitatotoke. Jeshi linajua kuwa wao ndiyo wanawaweka madarakani viongozi kwahiyo ili na baadhi yao waambulie kamnofu at the End na wao hawataka mnofu watataka pasu kwa pasu ndiyo hapo itakapo kuja kuwa matatizo. Mifumo ya kisiasa iachwe iende kisisa, na vyombo vya usimamizi viundiwe sheria madhubuti siyo kila mtu anawekewa kinga, kila mtu anakinga, sasa nchi ya vingozi wote wanakinga sasa uchaguzi wa nini kama tukikuchagua ukishakaa hatuwezi kukugusa na unao wateua nao unawawekea kinga hatuwezi kuwagusa, kwa maana hiyo wewe upo juu ya sheria zote za nchi.