Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,455
- 2,539
Nilitaka kuuliza hili li Tlaatlaah lina maoni gani, kumbe tayari limeshatoa uharo wake.Muhimu zaidi uchaguzi umekwisha kwa salama na amani na viongozi kako kazini..
kufukua makaburi ni story na porojo za kupoteza muda tu.
kama taifa,
tunajiandaa na uchaguzi wa madiwani wabunge na Rais October 2025š