gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,669
- 6,414
Acha kusingizia demokrasia kwa ujinga wetu wakushindwa kujisimamia.muda mwingine ili mambo yaende ni lazima mambo yatokee, Africa hatuhitaji demokrasia kama wazungu, mambo ya ushoga ndio yanaingia kwa gia ya demokrasia, haki sawa, haki za binadamu mambo mengine kama hayo, haiwezekani nchi zinazopinga mambo ya ushoga kama NORTH KOREA, RUSSIA, CHINA, waonekane watu wabaya, serikali inawajibika kutumia mbinu zozote kuhakikisha utu wa Mtanzania unalindwa.