Jack Pemba na jeuri ya fedha

Trump akituambia ukweli kuwa waafrika tunatakiwa kutawaliwa tena tunaona tunatukanwa
 
Hiyo inaitwa jeuri ya pesa!
Mbona Pablo Escoba alichoma dollar ili mwanae apate joto!?
Hiyo ni jeuri ya mbesa anajua namna alivyozipata..
 
Hiyo inaitwa jeuri ya pesa!
Mbona Pablo Escoba alichoma dollar ili mwanae apate joto!?
Hiyo ni jeuri ya mbesa anajua namna alivyozipata..
Haha ha upuuz tu Utakuta kwao wanashindia mihogo na kachumbari kama Padre slaa ni musenge tu
 


Aliyekuwa mume wa super star aunty ezekiel, aitwaye Jack Pemba pesa imeonekana ikizidi kumtembelea baada ya hivi karibuni kuonekana nchini Uganda akifanya kufuru ya aina yake , ambapo alikuwa akiosha moja kati ya magari yake ya kifahari aina ya range rover kwa kutumia Mvinyo wa bei mbaya huku akitumia ma dolali kufuta gari lake hilo, hali iliyozua gumzo jijini Uganda na kuwaacha watu midomo wazi.



Mume wa msanii huyo inadaiwa anafanya biashara nchini Uganda ikiwemo ya kumiliki makampuni kadhaa ya magari pamoja na maduka mbali mbali nchini humo

pesa bwana inaweza kukupa uchizi
 
Back
Top Bottom