It’s time for Tabata, sio Sinza,sio Kinondoni. Njoo Tabata kwa wala bata

Tabata ndiyo dar na dar ndiyo tabata...hujafika Tabata hujafika dar kwa wakati huu..usitumie nguvu sanaaa Kubisha we fanya kupita 40/40 na bar zingine week end hii utajionea kwanza kila baada ya nyumba kuna pub za maana
 
Hatimae na mimi nafurahi kwa kufanikisha ndoto zangu za kuja kuishi Tabata, ila kwa kifupi ni kwamba tatizo la watu wa Tabata ni moja bar mpya ikifunguliwa watu woye wanahama bar ya zamani kwa mfano kwetu pazuri palikua pananoga sana ilipokuja 40/40 watu wakahamia 40/40 ikaenda wee ilipokuja Great Park watu wakahamia Great Park kiasi kwamba hata siku ya jumatatu panajaa shamra shamra za kutosha sasa hivi kuna bar mpya ipo Kinyerezi waliokua wanajaa Great Park wote wamehamia hio bar mpya ya Kinyerezi..bila kusahau kabla ya ujio wa zote hizo bar zilizokua zikitamba ni Barakuda, kuna moja ile ilikua kwenye kona kabla hujafika kituo cha tabata shule na kuna ile ingine iliokua barabarani pale klipohengwa kituo cha Puma hahaha Tabata ni Sinza mpya ila bata zake ni za msimu...
Ipo ivyo kweny biashara y baa watu wakisha wamaliza mabamedi wanahama zao kwa wapya
 
HAKUNA WATU WASHAMBA WA STAREHE KAMA WATU WANAOISHI TABATA NA VITONGOZI VYAKE

YAANI UWEPO WA BAR YA 40/40 , THE GREAT, KWETU PAZULI, KITAMBAA CHEUPE,BL SIJUI TOROKA UJE WANAONA WENYEWE NDO SEHEMU ZA KULA STAREHE HIZO AMBAPO BIA INAUZWA 2000
ALAFU MALAYA WAO HUKO WANAUZIWA 5000 SHOW TIME WENYEWE WANAJIONA WAKO JUU
KUWAZIDI WATOTO WA KINONDONI
NA SINZAA

IVI STAREHE ZA KINONDONI NA SINZA WATU WANAZIJUA AU WANAZISIKIA
 
Hapa tu sahivi niko micasa lounge tabata napata soda mbili tatu na kitimoto.
Wanasema Mji umehamia Tabata,bar zote kali (executive) zipo Tabata.watu wanatoka kila kona ya Mji huu wa dar wanakuja kula bata Tabata.saa nane usiku hapo 40/40 bar hupati hata nafasi ya kusogeza kisigino.

Tabata ndiyo inatajwa kuwa sehemu pekee kwa sasa hivi yenye bar nzuri,safi,na zinazojaza kuliko sehemu yeyote kwa dar.hujafika Tabata week end basi hujafika dar bado.

Nenda 40/40,the great park,kitambaa cheupe,pale mawenzi sijui kuna bar gan pale daaaa ama kwa hakika Tabata kwa wala bata.
 
Hahaha mambo yapo huku kinyerezi ya maramba mawili, asubuhi tunaamkia hapo Soweto park unapata mchemsho swaaafi wa kuku ulimchagua bandani na baada ya mda tunaelekea hali ya hewa Angwisa village kuogelea na kuangalia view ya mji.

Vp upo tayari twende weekend hii?

Call me now 0713 924581
Angwisa ni mbali Sana'a aisee kama vile unaenda lushoto
 
Wanasema Mji umehamia Tabata,bar zote kali (executive) zipo Tabata.watu wanatoka kila kona ya Mji huu wa dar wanakuja kula bata Tabata.saa nane usiku hapo 40/40 bar hupati hata nafasi ya kusogeza kisigino.

Tabata ndiyo inatajwa kuwa sehemu pekee kwa sasa hivi yenye bar nzuri,safi,na zinazojaza kuliko sehemu yeyote kwa dar.hujafika Tabata week end basi hujafika dar bado.

Nenda 40/40,the great park,kitambaa cheupe,pale mawenzi sijui kuna bar gan pale daaaa ama kwa hakika Tabata kwa wala bata.
40/40 ndio bar kali? Haya kuleni bata!
 
Tabata ndiyo dar na dar ndiyo tabata...hujafika Tabata hujafika dar kwa wakati huu..usitumie nguvu sanaaa Kubisha we fanya kupita 40/40 na bar zingine week end hii utajionea kwanza kila baada ya nyumba kuna pub za maana
Ha ha ha utafanya watu waje mbio mbio kwenye hio bar ya kawaida sana
 
Back
Top Bottom