BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,975
Sasa bar unaenda kufanya nini kama hunywi bia?Mkuu, kwani kwenda bar/club lazima uwe unakunywa bia?
Ukisikia uchawi mwingine ndio huu
Sasa bar unaenda kufanya nini kama hunywi bia?Mkuu, kwani kwenda bar/club lazima uwe unakunywa bia?
Ni jina tu...ni bar ya mtoto wa king Kiki alieimba Wimbo wa kitambaa cheupe anaitwa jesca kikumbi...mtoto wa Mzee kikumbi
Hauko mbali sana na ukwelimimi nikiona mwanamke ana tattoo akili moja kwa moja inanambia analiwa mbolea.