wakusoma
JF-Expert Member
- Feb 25, 2008
- 1,084
- 1,061
Wanasema Mji umehamia Tabata,bar zote kali (executive) zipo Tabata.watu wanatoka kila kona ya Mji huu wa dar wanakuja kula bata Tabata.saa nane usiku hapo 40/40 bar hupati hata nafasi ya kusogeza kisigino.
Tabata ndiyo inatajwa kuwa sehemu pekee kwa sasa hivi yenye bar nzuri,safi,na zinazojaza kuliko sehemu yeyote kwa dar.hujafika Tabata week end basi hujafika dar bado.
Nenda 40/40,the great park,kitambaa cheupe,pale mawenzi sijui kuna bar gan pale daaaa ama kwa hakika Tabata kwa wala bata.