ISUZU Bighorn: Unyama mwingi

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
8,387
8,466
Anayetaka gari ya kazi achukue hii ISUZU Bighorn, 3,050cc, diesel, 234,000 kms. Gari ngumu Sana na ipo juu inapita popote . Bei 2,500 USD (CIF) mpaka Bandarini Dar

BK888923_de6aa6.jpeg


BK888923_b533bf.jpeg


BK888923_b4771c.jpeg
 
Wabongo tunakatishana Sana Tamaa jamaa ameweka biashara yake lkn comments zote ni kuponda Tu kwa kwenda mbele
Kuwa na uchawi sio lazima uwe na matunguri lakini hata kuwa maono yasiyo sahihi ni uchawi tosha kulingana na watengenezaji wa magari hakuna gari mbovu ila wamiliki kutozingatia taarifa za gari ndio shida inapoanzia

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom