M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,387
- 8,466
Anayetaka gari ya kazi achukue hii ISUZU Bighorn, 3,050cc, diesel, 234,000 kms. Gari ngumu Sana na ipo juu inapita popote . Bei 2,500 USD (CIF) mpaka Bandarini Dar
Mmh Kulikon?Haya mtaani yanaitwa ‘Kubwa Jinga’
😆😆😆😆😆😆😆 mkuu unaua vaibuHaya mtaani yanaitwa ‘Kubwa Jinga’
Hushtuki kwa yako cheap hivyo mkuu? Nyanya hiloAnayetaka gari ya kazi achukue hii ISUZU Bighorn, 3,050cc, diesel, 234,000 kms. Gari ngumu Sana na ipo juu inapita popote . Bei 2,500 USD (CIF) mpaka Bandarini Dar
View attachment 2206685
View attachment 2206686
View attachment 2206687
Lonya sio?Hushtuki kwa yako cheap hivyo mkuu? Nyanya hilo
Kabisa broLonya sio?
Asante Sana kwa taarifaKabisa bro
Kuwa na uchawi sio lazima uwe na matunguri lakini hata kuwa maono yasiyo sahihi ni uchawi toshaWabongo tunakatishana Sana Tamaa jamaa ameweka biashara yake lkn comments zote ni kuponda Tu kwa kwenda mbele
DahGereji ndo sehemu ya hiz gari
PoleYananguruma kama trekta
Chembe ya moyo hiyo. Karibu kubwa lakini bei kama ya vits. 😅Gereji ndo sehemu ya hiz gari