Iran sio Iraq.Ayatollah kwa mikwara, hana lolote, miaka ya 90’s nakumbuka the Late Sadam Hussein alitishia hadi kuangamiza dunia, kumbe ni mikwara tu, tena Sadam alikuwa na mikwara usipime, the same goes to Iran, hii mikwara yake ina mwisho na Ayatollah hawezi shindana na mabeberu wa dunia hii, watamnyofoa soon
Iran ina misingi imara AISEE,ni taifa pekee duniani ambalo liliwekewa vikwazo zaidi ya 40 years na likasimama hadi sasa.
Narudia Iran sio Iraq.