Israel kuishambulia Iran mapema badala ya kusubiri ishambuliwe, taarifa za kiintelijensia zaendelea kukusanywa

Jana kuna post ilipandishwa hapa ikizungumza Mzayuni kulalamika kupungukiwa na wanajeshi zaidi ya 10,000/= kwenye operation yake na hamas.

Sasa nadhani jamaa walitumia trick ya kusema uwongo ili Muiran awatamani awaone wepesi aanzishe varangati sasa ameona wameshtukia chezo kaona bora amfuate huko huko
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kikao cha Waziri Mkuu Benjamin Netanyau na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama yaani IDF, shin bet na mossad kilichoketi muda mfupi uliopita kimeamua kufanya shambulizi dhidi ya Iran badala ya kusubiri kujibu shambulizi kutoka Iran

Taarifa kamili zikipatikana muda wowote IDF itaanza kuitembezea kichapo Iran

Taarifa kamili hapo chini.

====

Report: Israel could preemptively strike Iran if intelligence shows attack is imminent

In meeting with PM, defense officials weigh options, say preventative action only possible if there is absolute certainty that intelligence on Iran’s intentions is accurate

Israel would consider launching a preemptive strike to deter Iran if it uncovered airtight evidence that Tehran was preparing to mount an attack, Hebrew media reported after Prime Minister Benjamin Netanyahu convened Israel’s security chiefs for a meeting on Sunday evening.

The meeting, attended by Defense Minister Yoav Gallant, IDF Chief of Staff Lt.-Gen. Herzi Halevi, Mossad head David Barnea and Shin Bet chief Ronen Bar, was held amid preparations for anticipated attacks on Israel by Iran and its Lebanese ally Hezbollah.

The assessment that Iran is likely to attack Israel in the coming days or weeks follows last week’s back-to-back assassinations of Hezbollah military chief Fuad Shukr in Beirut and Hamas leader Ismail Haniyeh in Tehran. Iran has blamed Israel for Haniyeh’s death and has vowed to retaliate.

Israel is not certain what to expect from Iran and its proxies, reports have estimated, and so is discussing a wide range of options as to how it can best respond to, or prevent, an anticipated assault.

During the meeting with Netanyahu, the option of striking Iran as a deterrence measure was discussed, Ynet reported, although security officials stressed that such a move would only be authorized if Israel received definite intelligence confirming that Tehran was about to launch an attack of its own.
Taarifa za kikao Cha Siri Cha Israel unajua ww uliekuwepo mchambawima hebu punguza uongo
 
Idf na mossad hawatoagi taatifa wakitaka kufanya operation taarifa zinakuja operation done. Hivi nyie hamuogopi lakini
 
Hapa Iran hata akitumia unconvetional weapons kama nuclea,r atakuwa na sababu maana atakuwa kachokozwa sana.

Hata hivyo, hii inanipa picha kuwa Israel alikuwa anatafuta sababu ya kuingia vitan na Iran, ila kwa Iran kukaa kimya, alikosa sababu sasa anataka kutimiza hiyo nia yake ovu ili baadae US aingilie kati kwa lengo la kubadili utawala wa Iran(waweke kibaraka wao).

Pia, japo wanasema wataishambulia Iran pale tu watapopoata habari za uhaki za kiintelijensia, tukumbuke ni hawa hawa US na Uingereza waliiaminisha dunia kuwa Saddam Hussein alikuwa na silaha za maangamizi kitu ambacho baadae walishindwa kukithiubitisha lakini ukweli ni kwamba walitafuta tu justification ya kuivamia Iraq.

Mpaka hapa, naweza sema Iran wajiandae tena bila kuchelewa kwani kupitia mgogoro huu, US na vibaraka wake wanataka ku-take advantage ya kubadili utwala wa Taifa la Iran kwa masilahi yao na si vinginevyo.
Wameshindwa kubadili utawala wa Syria ndio waweze kubadili Iran hvyo unatuletea vichekesho
 
Hapa Iran hata akitumia unconvetional weapons kama nuclea,r atakuwa na sababu maana atakuwa kachokozwa sana.

Hata hivyo, hii inanipa picha kuwa Israel alikuwa anatafuta sababu ya kuingia vitan na Iran, ila kwa Iran kukaa kimya, alikosa sababu sasa anataka kutimiza hiyo nia yake ovu ili baadae US aingilie kati kwa lengo la kubadili utawala wa Iran(waweke kibaraka wao).

Pia, japo wanasema wataishambulia Iran pale tu watapopoata habari za uhaki za kiintelijensia, tukumbuke ni hawa hawa US na Uingereza waliiaminisha dunia kuwa Saddam Hussein alikuwa na silaha za maangamizi kitu ambacho baadae walishindwa kukithiubitisha lakini ukweli ni kwamba walitafuta tu justification ya kuivamia Iraq.

Mpaka hapa, naweza sema Iran wajiandae tena bila kuchelewa kwani kupitia mgogoro huu, US na vibaraka wake wanataka ku-take advantage ya kubadili utwala wa Taifa la Iran kwa masilahi yao na si vinginevyo.
Wakifanikiwa Syria basi nahuko wataweza.
 
Israel US na Jordan ziwasaidie Wananchi wa Iran ili waondoe hiyo Islamic Government ya Iran.
Waeke serikali inayotambua ushoga sio ,mbona hamriziki kila nchi mnataka ifate tamaduni za ulaya alaf zao zifatwe na Nani? Au hamfikirii hili
Yangekua bhc wanaeneza ukristo tungesema mko sahihi kuwatetea
Lakin wanafanya matendo kinyume na dini yenu ila bado mnaona wako sahihi huu ni upuuzi mkubwa mnoo
 
Hapa Iran hata akitumia unconvetional weapons kama nuclea,r atakuwa na sababu maana atakuwa kachokozwa sana.

Hata hivyo, hii inanipa picha kuwa Israel alikuwa anatafuta sababu ya kuingia vitan na Iran, ila kwa Iran kukaa kimya, alikosa sababu sasa anataka kutimiza hiyo nia yake ovu ili baadae US aingilie kati kwa lengo la kubadili utawala wa Iran(waweke kibaraka wao).

Pia, japo wanasema wataishambulia Iran pale tu watapopoata habari za uhaki za kiintelijensia, tukumbuke ni hawa hawa US na Uingereza waliiaminisha dunia kuwa Saddam Hussein alikuwa na silaha za maangamizi kitu ambacho baadae walishindwa kukithiubitisha lakini ukweli ni kwamba walitafuta tu justification ya kuivamia Iraq.

Mpaka hapa, naweza sema Iran wajiandae tena bila kuchelewa kwani kupitia mgogoro huu, US na vibaraka wake wanataka ku-take advantage ya kubadili utwala wa Taifa la Iran kwa masilahi yao na si vinginevyo.
Sasa wewe ni nani unayebishana na Iran? Iran alishasema kwa kutumia marafiki zake wameizunguka Israel na watahakikisha wanaifuata kwenye thamani ya Dunia. Iran anasapoti Wapalestina kwa vile ni waislam waarabu, mbona hatuoni nchi za kiarabu zikisapoti waislamu wa weusi wa Darfull? Mbona hatuoni Iran ikiwa sapoti Wasomalia ili kumaliza vita?
 
Back
Top Bottom