PCGAMES
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 781
- 1,156
Moja ni simu ya 2017 nyengine 2020, ndio zimepigwa wakati tofauti. Ngumu kupata comparison za simu za 2017 na 2020 zilizofanywa 2020.Mkuu hizi picha zimepigwa nyakati tofauti,pia ukiangalia moja ina mti mbele ingine haina,hili kuweza kulinganisha ubora wa picha ni vyema zikapigwa wakati mmoja,sababu ili upate picha nzuri pia muda(mwanga) ni kigezo.
Shida sio mwaka,ili tuweze kupata ipi bora na ipi ya kawaida. lazima setting ziwe sawa na picha zipigwe wakati mmoja wa siku.Moja ni simu ya 2017 nyengine 2020, ndio zimepigwa wakati tofauti. Ngumu kupata comparison za simu za 2017 na 2020 zilizofanywa 2020.
So kama simu moja imetoka masika na nyengine kiangazi utafanyaje? Hio ndio best scenario niliyopata, kama una picha nyengine nzuri zaidi ama website unayoiamini unaweza ukaweka.Shida sio mwaka,ili tuweze kupata ipi bora na ipi ya kawaida. lazima setting ziwe sawa na picha zipigwe wakati mmoja wa siku.
Smartprix hata mtu hajahusika kutengeneza hizo score hilo ni bot tu limetengenezwa kucompare. Linacompare ghz badala ya ipc, idadi ya gb badala ya aina za ram, idadi ya mp badala ya quality, idadi ya resolution badala ya quality etcNaona tunadanganywa na neno FLAGSHIP. Simu ya mwaka 2017 na simu 2020, three years old.
Labda kama mtaleta mada kwamba techology haina improvement ndipo nitakubaliana na kwamba s8+ ni bora kuliko m31.
Kama hii m31 ingekuwa ni toleo la Xiaomi , naona kila mtu angeisifia zaidi kuliko s8+.
Angalia hata hapa wengine huko duniani wanasemaje.View attachment 1467856View attachment 1467859View attachment 1467860
From JF App
Unaposema kali unamaanisha kali ya sasa au kali ya kipindi hicho.Smartprix hata mtu hajahusika kutengeneza hizo score hilo ni bot tu limetengenezwa kucompare. Linacompare ghz badala ya ipc, idadi ya gb badala ya aina za ram, idadi ya mp badala ya quality, idadi ya resolution badala ya quality etc
Nikipata muda nitaenda deep zaidi kitu kimoja kimoja.
Na hata midrange za xiaomi hazifui dafu kwa Flagship labda budget flagship za xiaomi kama k20 pro na blackshark 2.
Achana na s8 mkuu utakuwa suprise hata s7 ni kali kushinda midrange za 2020.
Unaposema kali unamaanisha kali ya sasa au kali ya kipindi hicho.
Simu iliyokuwa inaperform vizuri na Android 7 na unaipa score over simu inayoperfom na android 10 ?.
Unajua maana ya improvement , ni both Software and hardware or otherwise tecnolojia inarudi kinyumenyume.
From JF App
Hii ni kwa wale tu wasiojua maana ya UPGRADE.s8plus huwez kuifananisha na hiyo remote
Naona tunadanganywa na neno FLAGSHIP. Simu ya mwaka 2017 na simu 2020, three years old.
Labda kama mtaleta mada kwamba techology haina improvement ndipo nitakubaliana na kwamba s8+ ni bora kuliko m31.
Kama hii m31 ingekuwa ni toleo la Xiaomi , naona kila mtu angeisifia zaidi kuliko s8+.
Angalia hata hapa wengine huko duniani wanasemaje.View attachment 1467856View attachment 1467859View attachment 1467860
From JF App
Hiyo simu ilikuwa flagship ya kipindi hicho. Kwa sasa inabidi kulinganisha bei yake ya sasa na bei ya m31. Ingawa kwa hiyo s8+ uwezekano mkubwa utapata refurbished/used kwa bei inayokaribiana na hiyo m31.Sasa mkuu ymollel kwa nini kama m31 ni bora mbona bei yake iko chini zaidi ya s8+?
Ndio maana nikakuambia hilo ni bot linalocompare sababu s8 haina android 7 bali 9 kwa sasa, na ipi ina software bora baina ya Android 10 ya M31 na 9 ya s8 hio ni debate kubwa.Unaposema kali unamaanisha kali ya sasa au kali ya kipindi hicho.
Simu iliyokuwa inaperform vizuri na Android 7 na unaipa score over simu inayoperfom na android 10 ?.
Unajua maana ya improvement , ni both Software and hardware or otherwise tecnolojia inarudi kinyumenyume.
From JF App
Mm hata nikitaka kununua simu...hela namkabidhi tu chief mkwawa kwa haya mambo sio mbobezi tu bali amekubuhu kabisa.Good saana, wengi wanaamini katika quantinty kuliko quality
Kumbe toka 2017 ilipotpka mpaka sasa ni 6 years????nimeupenda sana huu mjadala,natumia s8+ 6years now hakika ni simu nzuri mno