mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,733
mkuu mp kubwa sio kigezo cha camera kali.Chief-Mkwawa,
Laiti hii M31 ingekuwa imetengenezwa na kampuni tofauti na Samsung basi ningekubaliana na wewe kwa maelezo yako, yaani M31 camera 64MP ambapo kampuni nyingi kuanzia late 2019 zimeanza kutoa simu katika 64MP unataka kuifananisha na ndugu yake S8 with 12MP, ndio tunakubali kuwa Galaxy series ni flagship lakini huwezi kusema 64MP = 12MP of the same company hapana nakataa. Ukubali au ukatae M31 iko far better than S8 now wanapambanisha A71 v's M31 lakini sio league na S8, huyu alikuwa anapambanishwa na S9 tu kumbuka tunajadili sehemu ndogo tu ya Camera bado software, processor, battery, display etc.