Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 4,850
- 1,542
Na walio pitia JKT kama hujapita huko kaa utulie 😄😄Kila la heri under 30
Uzuri wa PCCB Wanaita kila mwenye minimum qualifications entry, wanajua utasurrender mwenyewe kwenye aptitude test zao.Na walio pitia JKT kama hujapita huko kaa utulie 😄😄
Kuna iko kigezo?Na walio pitia JKT kama hujapita huko kaa utulie 😄😄
Ivi Kwa kujiandaa na aptitude ni vizuri kusoma kitabu hardcopies cha aptitudes au maswali tu ya mtandaoni ya aptitudes ??Uzuri wa PCCB Wanaita kila mwenye minimum qualifications entry, wanajua utasurrender mwenyewe kwenye aptitude test zao.
Vyote if you can…. Utamu wa aptitude test ni ukutane na swali unalolijua you gain points and saves time too, maana uchawi muda.Ivi Kwa kujiandaa na aptitude ni vizuri kusoma kitabu hardcopies cha aptitudes au maswali tu ya mtandaoni ya aptitudes ??
Duhh, acha tupambane mzee, ninavitabu cha aptitude viwili.Vyote if you can…. Utamu wa aptitude test ni ukutane na swali unalolijua you gain points and saves time too, maana uchawi muda.
Kila la heriDuhh, acha tupambane mzee, ninavitabu cha aptitude viwili.
Ndioo kipoKuna iko kigezo?
Sijakiona kigezo cha Jkt, sidhani kama kipo.Na walio pitia JKT kama hujapita huko kaa utulie 😄😄
Soma vizuri tangazo lao kwenye general instructionsSijakiona kigezo cha Jkt, sidhani kama kipo.
Au lile la kiswahiliSoma vizuri tangazo lao kwenye general instructions
Au lile la kiswahili
Na chet cha class seven awe nacho.Na walio pitia JKT kama hujapita huko kaa utulie