Pia haya matv yetu ya kisasa naona yanachangia kuona hizo channel kichefuchefu, maana kuna wakati ukitazama TBC na Channel 10 basi hadi kichwa kinauma
AYO TV ipo.youtube hata ww wawezailiki yako.na ukapata pesa si jambo geni na nikawaidaTruth ebu nieleweshe, naona kuna kitu kinaitwa Ayo Tv, hivi Millard Ayo ameanzisha tv, mbona sioni watu wakiitazma au kuitangaza? (mshamba)
Asante mkuu! Hiyo teknolojia ni Sh ngapi kwani mpaka TBC na Ch 10 washindwe kuitumia? Hebu tutofautishie hizo teknolojia ulizofafanua kwa gharamaMkuu Post Truth, uko right, TBC ndio TV ya kwanza nchini Tanzania kutumia technolojia ya DV, (Digital Video), wakati TV nyingine zote zikitumia VHS. Japo TBC ilikuwa ikitumia DV Signal, ila transmiter yake ilikuwa Analog.
Baadae vituo vingine vikaingia kwenye DV kwa kununua TX za DV lakini TBC nayo ikanunua TX ya DV. Technology ikachange kwenda kwenye HDV, TV zote zikahamia kwenye HDV lakini TX ya TBC, ITV na Star TV bado ni DV, Clouds na EA TV ndio HDV. Azam TV ndio ameingia na Full HDV na TX yake ni Full HD
Kwa sasa technology ni 4K kwa kutumia UHDV, Bara la Afrika sisi bado, the Best signals za TV kwa Tanzania zinaongozwa na Full HD za DSTV channels za Super Sport, zikifuatia na Azam, ambayo ni HD, Clouds na Eatv ni HDV, ITV, TBC, Star TV na Channel Ten bado wanatumia DV tx.
Dogo Millard AYO anatumia Full HD!.
NB. Mimi ni Broadcast Journalist, taarifa hizi ni kwa mujibu wa reception yangu na sio specification toka vituo vyenyewe!.
Paskali.
Umekwiva Mayyalayes production ni HDV lakini TX ni DV!.
Tanzania full HD ni Azam Pekee.
P.
Mkuu Madukwappa, hakuna anayeshindanisha TBC na mtu, kama ni mashindano, labda ulinganishe na Azam, Clouds ni bado sana in terms of relevant contents, AYO is dam good ila yeye ana produce video only na ku apload kwenye You tube, ku broadcast ni kitu kingine, kumlinganisha content provider na broadcast provider sio ushindani sawia!.sasa wewe mtoa mada,TBC hujui kuwa ni ya serikali (ipo kwa ajili ya huduma na ubora wake unategemea mapato ya serikali), sasa utashindanishaje na millard ayo TV au clouds Tv ambao wapo kibiashara na wanajiendesha kwa faida???
The best na the richest TV Africa South of Sahara, ni DSTV ikifuatiwa na SABC, kama UHDV ya 4K bara zima la Africa hatuna, you can just imagine the cost!. Full HD ziko DSTV Pekee, tena ni chaneli 20 tuu kati ya chaneli zao 150.Asante mkuu! Hiyo teknolojia ni Sh ngapi kwani mpaka TBC na Ch 10 washindwe kuitumia? Hebu tutofautishie hizo teknolojia ulizofafanua kwa gharama
[/QUOTE]Na kwa kuongezea TBC ni FTA wakati Azam ni Cable. Kutangaza FTA ni more expensive. Kutangaza Cable ni cheap.[QUOTE="Pascal Mayalla
Ni kweli lakini pia huwezi linganisha TBC na AZAM tv, kwa sababu ingawa wote lengo lao kuhabarisha au kutoa burudani au vingnevyo, lakini bado hatuwezi linganisha kwa kuwa AZAM tv wapo kibiashara (kutengeneza faida) lakini TBC wapo kihuduma, hivyo hata jitihada na uwezo wa kuboresha haviwezi kufanana. hivyo HATUWEZI KUILAUMU TBC MOJA KWA MOJA, BAJETI NDOGO
Na kwa kuongezea TBC ni FTA wakati Azam ni Cable. Kutangaza FTA ni more expensive. Kutangaza Cable ni cheap.
Tunakokwenda kila mchungaji, Gwajima, Mzee wa Upako, Kakobe,Rwakatare etc watakuwa na channel zao kama Mwingira, Agape na TB Joshua. Kila kanisa litakuwa na TV yake, na sisi Watangazaji tutakuwa na channel zetu, AYO TV, PPR TV, Joyce Kiria TV, Albert Kilala TV, Salama Jabir TV, Zamaradi Mketema TV, etc.
P.
Just a good HD camera, siku hizi hata baadhi ya simu zina HD camera na nyingine hadi 4K kamera.Roughly tv kama AYO tv unahitaji sh ngapi kuwa nayo?
Just a good HD camera, siku hizi hata baadhi ya simu zina HD camera na nyingine hadi 4K kamera.
Kutangaza kupitia Youtube ni bure.
Full investment, kuwa na camera nzuri moja ya HD $ 3,000-9,000
Apple Mac Book Pro- $ 3,000
Cameraman man/Editor
Bandle/free wifi umemaliza kazi
Total investment plus labor charge roughly ni less than $ 10,000.
Japo wanaita AYO TV, Michuzi TV, Global, etc, sio TV zinazo broadcast, bali wanatengeneza video na kuzi weka youtube, hivyo ni VOD (video on demand).
Paskali