Tetesi: Inasemekana Mkuu wa Jeshi la IDF Harzi Halevi auwawa kwenye Shambulizi la Drone lilifanywa na Hezbollah hii Leo

Status
Not open for further replies.
😂😂😂 Picha Lina Anza drone haionekani katika rada yaani wakati nyie mnahisi kuwa mpo salama Kwa kuwa mna technology iliyo advance kumbe wenzenu Wana wachora tu, Daahh aibu sana
Ukiona wale wanajeshi wa Israel wamelia kwa Uchungu sana wamesahau wapo vitani wanaona kama wameonewa ndio maana tunawaambia hii vita haina maana ni kama ile ya Ukraine kule sema wavimba macho wanadhani inawahusu kumbe wapi..
 
Taarifa hii mpaka sasa haijathibitishwa lakini vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa Bwana Harlevi alikuwa ndio target katika chakula cha usiku na askari wa IDF huko katika mji wa Haifa nchini Israel.

Vyombo vya habari vya Israel vinaeleza kuwa Hezbollah walitumia drone ya kisasa ya fiber optic iliyotengenezwa nchini Russia ambayo inakwepa kuonekana na radar pamoja na mitambo ya kiulinzi. Zaidi ya majeruhi na vifo 70 mpaka sasa vimeripotiwa.

Tuendelee kuomba amani hii vita iishe.
View attachment 3124209

View: https://x.com/IDF/status/1845719319449145830?t=6whvKuOJ06LABS6RgMXm6g&s=19
GOD BLESS ISRAEL
 
Taarifa hii mpaka sasa haijathibitishwa lakini vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa Bwana Harlevi alikuwa ndio target katika chakula cha usiku na askari wa IDF huko katika mji wa Haifa nchini Israel.

Vyombo vya habari vya Israel vinaeleza kuwa Hezbollah walitumia drone ya kisasa ya fiber optic iliyotengenezwa nchini Russia ambayo inakwepa kuonekana na radar pamoja na mitambo ya kiulinzi. Zaidi ya majeruhi na vifo 70 mpaka sasa vimeripotiwa.

Tuendelee kuomba amani hii vita iishe.
View attachment 3124209
Vita havina macho !
Wanaoshabikia Vita ni sawa na Ubaya Ubwela wa Simba na Yanga !!
Ahmedi Ally vs Ally Kamwe wanatufurahisha sana wanavyo charurana 😅😅😳

Vita ni habari nyingine Mazee !
Ndio maana hatuitaki Vita itokee Nchini mwetu !
Wenye kuitaka Vita washindwe na walegee ! Na wahamie huko Middle East kabisa 🙏
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom