The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,111
- 1,832
😂😂😂Huyo huyo unaemjua wewe ndio kashushiwa kipigo wewe chagua utampa cheo chochote unachotaka
😂😂😂Huyo huyo unaemjua wewe ndio kashushiwa kipigo wewe chagua utampa cheo chochote unachotaka
Na ndio maana likatumika neno inasemekana.Ni kweli 3 wamekufa lakini ni uwongo kuwa mkuu wa majeshi wa Jeshi la Israel ameuawa.
Kwanza Harz siyo mkuu wa majeshi.
😂Usharudi haifa vip majeruhi hawajambo.
Netanyahu alijiona mungu mtu anauwa viongozi wa Hamas na Hezbollah na kujisifia mamamee atangaze na hiki kifo bado yeye anawindwa.
View: https://x.com/resist_05/status/1845548559002923147?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kwako hauoni kuwa Hilo ni Tatizo kubwa 😂😂😂Wameua 1 wanajisifu,majibu itakua 1000×25= 25000 ngoja tuone.
.malipo yako njiani.
😂😂Wengi naona mmechanganyikiwa ila tulieni ni Hali ya kawaida yatapita.
Waambie na CCM!Kama ni kweli hongera Hizibolla
Watu wajuwe, hata watu wanyonge bado wanaweza kuleta madhara kwa wenye nguvu
Ila ushindi haupatikani kwa wanyonge na wajinga, wenye nguvu ndio huuteka ufalume
😂😂😂 Picha Lina Anza drone haionekani katika rada yaani wakati nyie mnahisi kuwa mpo salama Kwa kuwa mna technology iliyo advance kumbe wenzenu Wana wachora tu, Daahh aibu sanaWahuni wana drone ambayo ilienda kuangalia ratiba yao ya chakula ni saa ngapi na maeneo gani hapo kambini ikarudisha taarifa harafu baadae ikaenda kupiga hao watu sio wa kupigana nao kabisa kwenye hii vita ya kisasa maana wanajeshi watatu wanatengeneza huo mchongo wa kuvamia Kambi kwa kutumia drone.
😂😂😂Kama unaweza Kaa na picha ya hivi kwenye simu basi akili Yako inashida sana.
Wanajidhalilisha sana hao jamaa mods wafute huu Uzi.Mnapenda sana kujifurahisha, hala ili kujifurahisha vizuri ninyi mnajitungia vistori vya uongo mkiiga story za kweli.
Kwa kuwa Israel alikuwa anafyeka kiongozi mmoja mmoja basi na nyie mnaanza na stry eti za kiongozi fulani kauwa, kesho mwingine ili mradi tu muendelee kujifariji.
Mlishasema Ndege ya Netanyahu imeshambuliwa na Netanyahu amejeruhiwa, labla uzushi wenu haujakauka mkaja kusema baada ya Iran kushambulia mkaja tena kudai Netanyahu kakimbia nchi na ndege yake kuonekana akiondoka Israel, hapo mmeshasahau ndege yake ilishashambuliwa na Netanyahu naye mkasahau kuwa amejeruhiwa. Hakuna anayewajibu sababu si kazi yao kucheza ngoma zenu, wanachojua wao ngoma zenu mtazicheza wenyewe na ngoma zao pia mtazicheza nyie.
Kwa kukusaidia.Taarifa hii mpaka sasa haijathibitishwa lakini vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa Bwana Harlevi alikuwa ndio target katika chakula cha usiku na askari wa IDF huko katika mji wa Haifa nchini Israel.
Vyombo vya habari vya Israel vinaeleza kuwa Hezbollah walitumia drone ya kisasa ya fiber optic iliyotengenezwa nchini Russia ambayo inakwepa kuonekana na radar pamoja na mitambo ya kiulinzi. Zaidi ya majeruhi na vifo 70 mpaka sasa vimeripotiwa.
Tuendelee kuomba amani hii vita iishe.
View attachment 3124209
Wapuuzi sana hawa jamaaWanajidhalilisha sana hao jamaa mods wafute huu Uzi.
Israel wameumia sana na shambulio la Jana, na washukuru Hezbollah hawana mabomu mazito, ilitakiwa Jana wapige mzinga mzito uteketeze wanajeshi wote waliokua wanakula ndio wangelia vizuri.Israel Abandons Hostage Talks, Pushes for Gaza Annexation in Violation of International Law
Israeli officials confirm the government has dropped hostage negotiations, moving forward with a plan to annex parts of Gaza.
Ukiandika gazeti refu ndiyo utamrudisha😅Mnapenda sana kujifurahisha, hala ili kujifurahisha vizuri ninyi mnajitungia vistori vya uongo mkiiga story za kweli.
Kwa kuwa Israel alikuwa anafyeka kiongozi mmoja mmoja basi na nyie mnaanza na stry eti za kiongozi fulani kauwa, kesho mwingine ili mradi tu muendelee kujifariji.
Mlishasema Ndege ya Netanyahu imeshambuliwa na Netanyahu amejeruhiwa, labla uzushi wenu haujakauka mkaja kusema baada ya Iran kushambulia mkaja tena kudai Netanyahu kakimbia nchi na ndege yake kuonekana akiondoka Israel, hapo mmeshasahau ndege yake ilishashambuliwa na Netanyahu naye mkasahau kuwa amejeruhiwa. Hakuna anayewajibu sababu si kazi yao kucheza ngoma zenu, wanachojua wao ngoma zenu mtazicheza wenyewe na ngoma zao pia mtazicheza nyie.
Ukiandika gazeti refu ndiyo utamrudisha😅
View: https://x.com/fa_abv/status/1845531754947362852?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kambi ya jeshi imesambaratishwa vibaya na wanamgambo tu ambao sio jeshi kamili.Kwa kukusaidia.
Hiyo hapo ni habari live na huyo mnayedai ameuawa yupo live kwenye hiyo kambi iliyoshambuliwa, ameenda kujionea uharibifuView attachment 3124508