Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,240
- 3,932
Hivi Aisha alikufa? Nilimkosakosa na hela zangu za viazi 2006 na nilitaka nimuoe kabisa.Kwani mmesahau Aisha madinda kabla hajafa aliwataja wangapi
Hivi Aisha alikufa? Nilimkosakosa na hela zangu za viazi 2006 na nilitaka nimuoe kabisa.Kwani mmesahau Aisha madinda kabla hajafa aliwataja wangapi
Yupi huyoo??Huyu si ndo alitembeaga na yule mnenguaji wa twanga pepeta ambae ni marehemu?
Apime kwanza, tuache uoga. Ikionekana kweli ugonjwa hauonekani ndio atujuze tumshauri. Kuna mganga mmoja tu wakutibu, zaidi ya huyo wote ni wakutuliza tu.Ungeuliza kwa mganga yupi maana mwenyewe anasema karogwa hospitali afuate nini?
Best kwema?Alinadi sana papuchi za bongo movie awaombe msamaha hao.
Umemsahau, Diblo Dibala!!
Karma ni sawa na alabadiri haikuachi salamaKwahiyo mbowe ndio kamroga?
Nadhani kuna mchanganyiko tu, hapo na wala hapahitaji akili kubwa kama unavyoongea wewe katika kuchangia issue ya kipuuzi kama hii. Mimi najua Dally Kimoko ni mpiga gitaa la solo katika band mbalimbali alikuwa anakodiwa. Sasa uliposema utasikia magitaa mengi lakina Dally Kimoko ndio balaha, nikakumbusha tu umemsahau Diblo Dibala!! Sasa hapo kama unavyojisifia wewe kuwa ndio una akili kubwa kivipi? Yaani hata ulichomaanisha cha kuwa Stive alikuwa mjuaji na amefanya mambo ya kila aina mpaka amefika hapo. Hilo mimi nilielewa hata kabla sijakujibu, ndio maana nikakuongezea hints! Hongera mwenye akili kubwa ambeya hujui hata sehemu ya ku argue.Hujanielewa nimemaanisha nini hapo kwa kutaja ' Dally Kimoko ' na wala hutokuja kuelewa. Ukitaka kuyaelewa ' maandiko ' ya GENTAMYCINE yakupasa pia hata uwezo wako wa ' akili ' au wa ' kufikiri ' uwe mkubwa mno vinginevyo unaweza ukawa kila siku unatoka ' kapa ' katika yale ninayoyaandika japo nashukuru kwamba kuna baadhi na Members wa JamiiForums sasa wananielewa vyema katika ' maandiko ' yangu na tunaenda sawa.
Mkuu yaani mpaka leo hii hujui kwamba GENTAMYCINE akiandika ' Dally Kimoko ' anamaanisha nini? Pole sana!
Nadhani kuna mchanganyiko tu, hapo na wala hapahitaji akili kubwa kama unavyoongea wewe katika kuchangia issue ya kipuuzi kama hii. Mimi najua Dally Kimoko ni mpiga gitaa la solo katika band mbalimbali alikuwa anakodiwa. Sasa uliposema utasikia magitaa mengi lakina Dally Kimoko ndio balaha, nikakumbusha tu umemsahau Diblo Dibala!! Sasa hapo kama unavyojisifia wewe kuwa ndio una akili kubwa kivipi? Yaani hata ulichomaanisha cha kuwa Stive alikuwa mjuaji na amefanya mambo ya kila aina mpaka amefika hapo. Hilo mimi nilielewa hata kabla sijakujibu, ndio maana nikakuongezea hints! Hongera mwenye akili kubwa ambeya hujui hata sehemu ya ku argue.
Much-know karudi kundiniNaona umejibu ' upuuzi ' mwingi kama ambavyo nilikuhisi yawezekana ukawa ni ' mpuuzi '. Bado nasisitiza Kwako kwamba ukitaka kuyaelewa maandiko yangu humu JamiiForums jitahidi sana hata uwezo wako wa Kufikiri / Akili uwe ni wa Kiwango cha juu kidogo vinginevyo utakuwa hunielewi halafu unakuja Kwangu na aina hii hii ya ' upuuzi ' wako.
Na kwa kukusaidia tu kuhusu hao wapiga Gitaa la Solo maarufu huko nchini Kongo huwezi ukamweka huyo Diblo Dibala wako na tunaojua vilivyo mziki wa Kikongo tokea miaka hiyo ya mwanzoni mwa 80 wapiga Magitaa mahiri wa Bendi za Kongo ni wawili tu Veteran Le Roi Dilu au Dilu Dilumona na mwenzake Beniko. Hata huyo Diblo Dibala wako japo nyie Vijana wa leo mnajifanya kumjua na kumsifia lakini Walimu wake ni hao na anawaheshimu hadi Kesho.
Diblo Dibala ni mpiga Solo mahiri wa Kizazi cha Pili cha Muziki wa Kongo ila wa Kizazi cha Kwanza ni hao wawili Le Roi Dilu au Dilu Dilumona na wapiga Solo mahiri wa Kizazi hiki cha Tatu Kongo ni hawa Watatu Mitre Ficarre Mwamba anapiga na Wenge BCBG ya JB Mpiana kisha Flam Mwenie Kapaya anapiga na Wenge Maison Mere ya Werrason na Felly Tyson anapiga na Quarter Latin Band yake Koffi Olomide.
Akhsante.
Mkuu fafanua vizuri
Nikumbushe mdau
Much-know karudi kundini