Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,535
Naikumbuka mkuuIle list naikumbuka sanaa
R.i.p banza
R.i.p astonvilla na wengne ,,twaisubir list
Naikumbuka mkuuIle list naikumbuka sanaa
R.i.p banza
R.i.p astonvilla na wengne ,,twaisubir list
hicho chanzo sio reliableUkiwa mjuaji sana lazima kila kitu ufikirie umerogwa. Amtafute Mtumishi Mshana Jr amsaidie
Yako ipo salama? Maana nawe si bongo movieAlinadi sana papuchi za bongo movie awaombe msamaha hao.
Kumbe ndo zake
Ungeuliza kwa mganga yupi maana mwenyewe anasema karogwa hospitali afuate nini?Yupo hospital ipi tukamtembelee au anaugulia nyumbani
Umeongea dadaAlinadi sana papuchi za bongo movie awaombe msamaha hao.
Wewee Sky ina maana alikua dalali wa papuchi?Alinadi sana papuchi za bongo movie awaombe msamaha hao.
Kabisa mkuuWewee Sky ina maana alikua dalali wa papuchi?
Mkuu huogopi "miamala" ya nchiJamani tusileteane nzi! Mimi ndiye nitakayekuwa mwenyekiti wa kuratibu shughuli zote za mazishi pale muda utakapofika. Michango yote itapitia kwangu na mwili utaagwa leaders club! Lazima na yeye aone uchungu wa kuliwa rambirambi! Nitazila na kama roho itamuuma sana basi afufuke aje kunipiga.
Umemsahau, Diblo Dibala!!Sikiliza Magitaa yote ya Kikongo ila siyo la ' Fundi ' Dally Kimoko.
Hilo la dharau kweli kabisa. Kuna siku niliwakuta Contena Bar Mikocheni yupo na ile Prado yake. Duh anadharau sana, mtu!!Pole yake,atubu tu hamna namna
Jamaa anaongea sana uyu,na dharau zimo ndani yake
Mzee wa miamala
Na kama unaogopa kufa basi tenda mema!!Uoga wa kifo unatusumbua sana sisi binadamu