Mazingira ya mazungumzo anachokifikiria mzungumzaji huweza kusababisha mtu kutamka asichokikusudia. Hili ni swala la kawaida sana kwa binadamu. Viongozi wengisana huwatokea. Mfano mzuri ni pale Lowasa alipokuwa akisema ccm oye kwenye kampeni za chadema au kura nipeni mimi ubunge na udiwani chagua ccm.K
Ahsante mpendwa lakini Lakini kila siku tunashauriwa kuchagua watu makini..moja kati ya vitu vinavyosababisha umakini ni kulifikiria jambo mara mbili kabla hujalitamka ili kuepusha fedhea, twende mbele turudi nyuma hawa viongozi kwa kuzoea kwao kudanganya na kudanganya hakuitaji fikra pevu, ndo wanaishia kuaibika