Mtu ambaye anang'ang'ania hili swala kuwa ni hoja huwa namshangaa. Yaani bora aliyepitiwa na kusema hilo anayo akili za kumtosha kuliko huyu anayeona hiyo dosari ndio kapata hoja. Unastahili kuwa milembe kwani hazikutoshi.Tukifika mahala tunawazungumzia viongozi wa CCM tusiwalaumu hawa wamewekwa tu, hawajakugulia kwa kiwango cha umakini wao...mmemsahu yule alieropuka kwamba Tanzania ni muunganiko wa Tanganyika na Zambia mi siwalaumu najionea wamezoea.
Makosa kama haya huwa ni ya kawaida sana na yanatambulika kisaikolojia na wasikilizaji wenye akili huwa wanayapuuza. Bali mataahira huwa wamepata hoja