Inaonekana kuna ukweli ndani yake...

Tukifika mahala tunawazungumzia viongozi wa CCM tusiwalaumu hawa wamewekwa tu, hawajakugulia kwa kiwango cha umakini wao...mmemsahu yule alieropuka kwamba Tanzania ni muunganiko wa Tanganyika na Zambia mi siwalaumu najionea wamezoea.
Mtu ambaye anang'ang'ania hili swala kuwa ni hoja huwa namshangaa. Yaani bora aliyepitiwa na kusema hilo anayo akili za kumtosha kuliko huyu anayeona hiyo dosari ndio kapata hoja. Unastahili kuwa milembe kwani hazikutoshi.
Makosa kama haya huwa ni ya kawaida sana na yanatambulika kisaikolojia na wasikilizaji wenye akili huwa wanayapuuza. Bali mataahira huwa wamepata hoja
 
HAPO WATAJUA UMUHIMU WA WABUNGE WA UPINZANI BUNGENI, HAWA MACCM YAMESHIKIWA AKILI KWANI WANGELITAKA KODI KWENYE TOZO BASI WANGEITA KODI YA TOZO NA KUITUNGIA SHERIA LAKINI VAT HUTUZWA KWA MLAJI.
 
TOA HOJA BANA. HII NI AIBU INAONYESHA SERIKALI SIO MAKINI LAKINI BUNGE HALIKO MAKINI KABISA NANI HAJUI NYIMBO ZAKINA LUSINDE NA MLINGWA.
 
Jamaa badala wa kuidadavua bajeti wao kutwa vijembe kwa ukawa, bajeti imeshapita sasa wengi wao hata hawaelewi kilichomo. wengine hata kodi ya kiinua mgongo kwamba kitakatwa 30% wamejua kupitia magazeti.
 
TOA HOJA BANA. HII NI AIBU INAONYESHA SERIKALI SIO MAKINI LAKINI BUNGE HALIKO MAKINI KABISA NANI HAJUI NYIMBO ZAKINA LUSINDE NA MLINGWA.
Niliyemjibu karidhika na kakaa kimya kwangu inatosha. Ulichokiandika hakiusiani na nilichokiandika na uzi wenyewe.
 
Huo ndo ukwel vijana wa lumumba wenyewe ...hawaelewi VAT analipa nn wanasema zinalipa bank ..et hawa ndo wakumshauri rais...tuingie kwenye uchumi wa viwanda...kazi ipo....
 
K
Ahsante mpendwa lakini Lakini kila siku tunashauriwa kuchagua watu makini..moja kati ya vitu vinavyosababisha umakini ni kulifikiria jambo mara mbili kabla hujalitamka ili kuepusha fedhea, twende mbele turudi nyuma hawa viongozi kwa kuzoea kwao kudanganya na kudanganya hakuitaji fikra pevu, ndo wanaishia kuaibika
 
TOA HOJA BANA. HII NI AIBU INAONYESHA SERIKALI SIO MAKINI LAKINI BUNGE HALIKO MAKINI KABISA NANI HAJUI NYIMBO ZAKINA LUSINDE NA MLINGWA.
Nashukuru mkuu kuna mambo yakiwa hayafanywi ipasavyo lazma waambiwe..sema swahiba msororo anajua nimeropoka..Mwl nyerere alikua anaongea neno moja halafu anaangalia watu ndo anakuja kusema lingine muda ule anawaangali watu alikua anatafakari aseme nini..lakini hii yote ni kuepusha kutilinganya mambo, lakini viongozi wa sasa mtihani.
 
Sasa ndo umeandika nini?
Ametaka kujua kwamba hii bajeti iliyopitishwa majuzi, waliopitisha walielewa wanachopitisha?? Au walikalia kutetea mafao yao yasikatwe kodi na kuomba miongozo ya kuvuliwa baraghashia???
 
waziri aliwaingiza mkenge wabunge wa sisiem, aliwaambia VAT haigusi wananchi na vile wabunge hao wasivyojua mambo ya kodi na sheria kwa ujumla wakasema 'ndiyooooo'
 
Hoja ya msigwa hapo ni ipi??? wazo lake ni nini, utakuwa bwege kujadili yaliyopita bila kusema nini kingefanyika.

Namkumbuka Einstenberg " if you have ever done a mistake then, you have never tried anything new" ki.la.za msigwa anataka kila siku mambo yawe yale yale ya kwenda ulaya kuomba msaada, nchi zote duniani wanajiendesha kwa kodi, ukipinga kodi kisa unaabudu umasikini.
ngoja watu walipe kodi tuone hao masikini kama watakufa sababu wametozwa kodi
 
Hivyo ni viwango vyetu ktk umahiri wetu kutetea wanainchi wetu ktk ubora wetu kwani wewe mgeni ktk chama chetu? If yes, you are well come.
 
mkuu hongera kwa kumwelewesha japo swali lake limekaa kipuuzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…