Inakuaje hiii, kuhusu kuwa na mpenzi wa kike anayekuzidi urefu

Hivi kunauwezekano .. .kumiliki demu aliyekuzidi urefu.. Pia ni sawa kumiliki mwanamke aliyekuzidi urefu...

Maana kuna wanawake warefu zaidi yangu ...huwa naingiwa na woga kuwatia sound..
Hebu tusaidiane kuclarify hili suala wakuu...

Unawamiliki kama watumwa, unawafuga, unawanunua au? Watu humiliki gari, nyumba, mashamba iweje umiliki demu? Ina maana mama yako ni miliki ya baba yako hawezi bisha wala kutoka? Nini maana ya neno kuachika, talaka na kama hayo? Binadamu mwenye I Q pengine kukuzidi unasema unammiliki?
 
lakini kuna kamsemo kuwa the shorter the monkey the longer the tail...tafakari hayo
 
Nina 5.9f mwanamke alienizidi urefu hata tuwe kanisani nitamtimua tu kiufupi sipendi hata tukae jirani labda tulingane au nimzidi
 
No ,money is nothing when it comes on the issue of true love

Money can't buy the heart of somebody he /she will act that he loves you but in reality he/she lies you and the money you give her ,she will inturn give another man that she loves him alot
Acha hizo usijifanye kama huelewi.Kama hauna pesa utafanya au kupata nini.Upendo ndo unalisha mtu,unamvisha?unamlipia? kodi na bills nyingine? Tuweni wakweli jamani kwenye vitu siriazi kama hivi.Nimeshuhudia wenye kipato kidogo kama walimu wameoana kwa kupeana moyo eti wataishi tu kwa amani lakini baada ya muda mfupi wanawake wanaanza kugawa kwa vibosi ili wapate pesa za kujikimu waendane na wakati.
 
No ,money is nothing when it comes on the issue of true love

Money can't buy the heart of somebody he /she will act that he loves you but in reality he/she lies you and the money you give her ,she will inturn give another man that she loves him alot
Well said! Ila hela huchochea upendo na mapenzi ..Naja!
Hela ikikosekana katika mapenzi utayachukia kwa sababu utadharaulika kwa namna fulani.

Kama hauna hela mpenzi wako atakukimbia kwa sababu utashindwa mtimizia mahitaji yake ya hapa na pale.
 
Unawamiliki kama watumwa, unawafuga, unawanunua au? Watu humiliki gari, nyumba, mashamba iweje umiliki demu? Ina maana mama yako ni miliki ya baba yako hawezi bisha wala kutoka? Nini maana ya neno kuachika, talaka na kama hayo? Binadamu mwenye I Q pengine kukuzidi unasema unammiliki?
Daaaah
 
Back
Top Bottom