Inakuaje hiii, kuhusu kuwa na mpenzi wa kike anayekuzidi urefu

Hivi kunauwezekano .. .kumiliki demu aliyekuzidi urefu.. Pia ni sawa kumiliki mwanamke aliyekuzidi urefu...

Maana kuna wanawake warefu zaidi yangu ...huwa naingiwa na woga kuwatia sound..
Hebu tusaidiane kuclarify hili suala wakuu...
Acha woga Mkuu.
Mwanamke mrefu ndio kiumbe dhaifu kuliko vyote duniani.
 
Hivi kunauwezekano .. .kumiliki demu aliyekuzidi urefu.. Pia ni sawa kumiliki mwanamke aliyekuzidi urefu...

Maana kuna wanawake warefu zaidi yangu ...huwa naingiwa na woga kuwatia sound..
Hebu tusaidiane kuclarify hili suala wakuu...

kwanza, unakosea unavosema 'kumiliki', pili, ni confidence yako tu kwani demu wako akiwa mrefu kuliko wewe inabadilisha nini? kama unajiamini hutoona tofauti yoyote. be a man and some balls.
 
Dah mim nina bahati ya kupendwa na wanawake warefu kunizidi hata huwa cjui kwann.... Cjawahi kudate na mwanamke mfupi. Huwa pia nawauliza kwann wanawake wengi hupenda wanaume warefu? Wakasema siyo kweli...Upendo wa kweli ni zaidi ya urefu/ufupi/unene au wembamba
 
Mkuu umenigusa asee manake niliwahi kuwa na dada mmoja anaitwa Neema.Huyu nilianza nae akiwa form 2 mie nilikuwa form 6.Tulikuwa mwanza.Baadae mimi nikaja dsm tukawa mbali kwa muda wa miaka mitatu.Siku akaja kunitembelea asee kanizidi urefu.Mimi nina 175Cm yeye sasa ana 183Cm....TUKABAKI MARAFIKI KIROHO SAFI MANAKE HATA KISS IKAWA TABU ASEEE
Duh, hakuna kugegedana?
 
Ukitafuta mke akikisha haya yafuatayo unamzidi otherwise utanyanyasika maisha yako yote: Elimu, kipato, busara, hekima, ubishi, utemi, urefu na nguvu
 
Dawa yao ni kuwazidi urefu wa dushe.
Wanawake warefu wanajiamini sana hasa wakikutana na mwanaume mfupi utajuta
 
Back
Top Bottom