Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 92,962
- 112,773
Muungano uvunjwe haraka
Mkuu nakuheshimu lakini nadhani unatafuta tuvunjiane heshima, usituharibie nchi yetu, Wazanzibar hatuna undugu nao wanainyonya bara.Hakuna kitu kinaitwa Tanzania bara.
Kipo, Tanzania bara ambayo ilikuwa Tanganyika, na Tanzania visiwani ambayo ni Zanzibar na PembaHakuna kitu kinaitwa Tanzania bara.
Kwenye maelezo hapo neno "Zanzibar" limefuata nini Sasa?Kipo, Tanzania bara ambayo ilikuwa Tanganyika, na Tanzania visiwani ambayo ni Zanzibar na Pemba
Hapo nimekosea nini Sasa🙄😳Mkuu nakuheshimu lakini nadhani unatafuta tuvunjiane heshima, usituharibie nchi yetu, Wazanzibar hatuna undugu nao wanainyonya bara.
Halafu nyuzi za hivyo wenyewe wanakuwa wabishi kama mshipa.Kuna nyuzi zingine ukiamua kukomenti ni sawa na kujisogezea kesi na kiziwi tu...😑
Mkuu, mimi siko extreme katika utumiaji wa haya maneno Tanzania bara, Tanzania visiwani, Zanzibar na Tanganyika. Nayatumia interchangeably, kwa sababu jina sio jambo kuu katika suala la mandhali ya muungano wetu. Tunaweza hata kuuvunja nikapendekeza ili kutoharibu brand ya nchi, Tanzania bara tuendelee kujiita Tanzania badala ya kurudi kwenye jina TanganyikaKwenye maelezo hapo neno "Zanzibar" limefuata nini Sasa?
Sijui kama nakuelewa. Sasa hapa Mkuu ndio tuseme unaona umetoa point kali ukilinganisha na issue zilizokuwa raised kwenye thread hii, ambazo sijui ndio unaita ujinga? Kama huu ndio mtazamo wako basi unachekesha sanaHalafu nyuzi za hivyo wenyewe wanakuwa wabishi kama mshipa.
Unamsoma halafu unasema eti huyu naye kajiona ana hoja kaandika post ndeefu imejaa ujinga na hata historia fupi tu ya 1985 imesahaukiwa.
Nikichogundua ni kwamba, Watanzania wengi hawampendi Samia (na mimi siko hapa kumtetea) ila katika kumponda wanatoa hoja za uongo na ukweli.
Hiki linasikitisha sana, kwa sababu Samia ana mapungufu mengi, hahitaji kutungiwa mapungufu mengine ya uongo.Ukintungia mapungufu mengine ya kufijirika, unakuwa sawa na mtu tajiri sana mwenye oesa nyingi ambaye hahitaji mkopo, lakini anaenda benki kuchukua mkopo wa riba kubwa sana ili kupata hela. Ujinga.
Ndipo hapo utasikia hoja za kuwa Samia si rais halali kwa sababu hajachagukiwa urais (zinazoonesha huyu mtu hajui katiba, hajui kuwa unapochagua rais unachagua a ticket, not a person) na hoja kama hizi ambazo hazitenganushi abstract thought na individual's problems, hazielewi au zinadharau muundo wa serikali ya Tanzania kikatiba, na kiujumla zina ujinga mwingi tu.
Kwa hivyo, nakuelewa sana.
Unaweza kusoma thread ukaona ujinga mwingi mpaka ushindwe pa kuanzia wapi.
Let's deal with facts. Samia kaharibu hiki na hiki na hiki.
Sio matatizo imagined kwamba hakuna Mzanzibari anayeweza kuwa fair akiwa rais wa Tanzania.
What does that mean, watu wa bara tu ndio wanaweza kuwa fair? Zanzibar si sehemu ya Muungano?
Zamani kati hapa miaka ya 90s na early 2000s... nchi hizi mbili zilikuwa zinatambulika kama Tanzania bara na Tanzania Visiwani.Tatizo Tanzania na mara nyingi Afrika kwa ujumla, tumezoea kufanya mambo kwa mazoea au kwa matarajio kwamba kama leo tumekula basi hata kesho tutakula tu. Ndio maana wengi wetu mambo ya kuandika wosia hatutaki. Hatutaki kufikiri mambo mbele kiasi hicho, au kudhani tukifa leo au kesho kutakuwa ni tatizo kwa familia zetu tutakazoacha. Na mara nyingine hatudhani kama tunaweza kufa leo au kesho!
Ndio maana hili la raisi wa Tanzania katika mazingira ya Zanzibar kuwa na serikali na raisi wake, hatukulifikiria mbali, labda tukiona kwamba tulikuwa na raisi Mkapa, kisha Kikwete na baadae Magufuli, na mambo yalikuwa sawa tu. Tuliamini kwamba siku zote raisi wa Tanzania atatoka bara, japo makamu wake alitoka visiwani. Hatukuona kwamba raisi wa Tanzania anaweza kutoka visiwani ikiwa raisi aliechaguliwa toka bara atakufa akiwa madarakani na makamu wake toka visiwani akawa raisi wa Tanzania,au raisi wa bara.
Sasa, hili sasa la kuwa na raisi wa Tanzania toka visiwani lazima tukiri linatuletea matatizo mengi sana. Na chimbuko la matatizo haya ni ukweli kwamba kimsingi, raisi wa Tanzania ni raisi wa bara, na anapaswa kuwa mtu kutoka bara. Huu ndio ukweli. Na sababu mojawapo ni kwamba kwa muundo wa muungano tulio nao sasa, raisi wa Tanzania hana sauti tena na mabo ya Zanzibar.
Tukisema raisi ni wa Jamhuri yaa Muungano ya Tanzania hivyo anaweza kutoka bara au visiwani, huko ni kujidanganya. Jiulize, ni mambo mangapi ya muungano raisi Samia anaweza kuyatolea tamko ambalo itabidi raisi wa serikali ya Zanzibar atii na kutekeleza? Hakuna hata moja! Ona kwamba hata mkataba wa Tanzania na DP World haukuhisisha Zanzibar, kwa sababu raisi Samia hana mamlaka na bandari za Zanzibar japo zinasemekana kuwa chini ya muungano.
Sasa basi, kama kweli tunataka tuwe na raisi wa Jamhuri ambaye ana sauti bara na visiwani kuna mawili - aidha kusiwe na raisi wa Zanzibar, au kuwe na raisi wa Tanganyika. Na hii ndio inachochea baadhi ya watu kudai serikali ya Tanganyika.
Kama ambavyo watu hatutaki kuandika wosia, Tanzania hatukuwahi kufikiria nini kitatokea ikiwa raisi wa Tanzania toka bara atakufa, na tukiwa na makamu wa raisi toka Zanzibar anaepaswa kuchukua nafasi yake. Kama tungefikiria mbali ju ya hili, na tukijua kwamba raisi wa Tanzania ni raisi wa bara na anapaswa kutoka bara, basi tungepaswa kusema ikiwa raisi wa Tanzania atakufa akiwa madarakani, kama uchaguzi mkuu uko mbali zaidi ya miaka miwili, makamu wa raisi atakaimu nafasi ya raisi wa Tanzania katika kipindi kisichozidi mwaka mmoja, ambapo ndani ya muda huo uchaguzi mdogo wa raisi utafanyika, pasipo kuwa na uchaguzi wa wabunge. Raisi mpya atakapochaguliwa, kaimu raisi ataendelea na nafasi yake ya makamu wa raisi, ikiwa raisi aliechaguliwa atatoka tena chama tawala; la sivyo kutakuwa na raisi mpya na makamu wa raisi mpya kama uchaguzi mdogo wa raisi utatoa raisi toka chama cha upinzani.
Sasa tukijua hili, na kuelekea uchaguzi wa 2025, ingependeza ikiwa Raisi Samia asigombee tena kiti cha uraisi wa Tanzania, bali CCM walete mgombea mpya kutoka bara na mgombea mwenza mpya kutoka visiwani. Najua wengi watasema ooh, Katiba haisemi hivi. Ndio, lakini CCM wakifanya hivi hawatakuwa wamevunja katiba, bali watakuwa wameinusuru Tanzania katika mitafaruku na issues nyingi zinazoendelea kutokana na uraisi wa Samia, akiwa raisi wa bara kutoka visiwani. Na kama raisi Samia ana uchungu na mapenzi na nchi hii, ni suala la yeye kusema jamani eeh, nimeamua sintagombea uraisi 2025 ili CCM ifanye mchakato mpya kupata wagombea wapya. Baadae hili linapaswa kuwekwa kwenye katiba.
Hakuna mtu asieona kwamba uraisi wa Samia analeta mitafaruku mingi mno. Kwanza watu wengi wa bara hawamwamini kwamba anafanya kazi kwa maslahi ya Tanzania bara na si Zanzibar. Pili watu wanaona anapendelea sana Zanzibar katika miradi na uteuzi. Tatu watu wanaona ameanza kutumia njia za Magufuli. Nne watu wanaona anashindwa kudhibiti viongozi mafisadi wa bara kwa sababu anataka support yao. Tano watu wanaona anaingiza sana watu wa Zanzibar kwenye nafasi za kazi za bara. Sita watu wanaona anatumiwa vibaya na ndugu zake toka nchi za kiarabu. Saba watu wanaona anajitajirisha sana binafsi na ndugu zake ndio maana hawezi kuwakemea viongozi mafisadi kwa sababu wanafanya anachofanya yeye, nk, nk.
Watu wengi wa bara wameanza kuona kuwa support anayopata Samia toka kwa watu wa bara ni kutoka kwa wale tu wanaofaidika na nafasi yake kama raisi wa Tanzania, watu ambao inasemekana wako tayari hata kuteka na kuua Watanzania wenzao ikiwa wataonekana kupinga utawala wa raisi Samia. Sasa hali kama hii si sawa kwa nchi yetu, na inazidi kuharibika. Na ni wazi CCM inajua hili ndio maana wanatumia nguvu kubwa na fedha nyingi sana kumfanyia Samia kampeni, kabla hata ya uchaguzi mkuu.
Raisi Samia, kwa heshima na taadhima, nakuomba ujitoe kwenye kugombea uraisi 2025 ili tujipange upya. Uwepo wako katika nafasi ya uraisi una mambo mengi mazuri yanayoonekana, lakini mabaya makubwa mengi yasiyoonekana!
Tuache masihara mkuu 'Synthesizer' ..."...marais kwa ajili ya upendo kwa nchi zao."! Kuna alama ya aina yoyote ambayo Samia alikwisha ionyesha katika utawala wake inayo kupa matumaini juu ya sifa hii yeye kuwa nayo kwa Tanganyika?Lakini pia kuna watu wazalendo wa kweli wanakuwa wanapenda kuwa maraisi kwa ajili ya upendo kwa nchi zao. Sasa sijui hili kama limo katika moyo wa Samia, kwamba niko tayari kufanya jambo kama hili kwa ajili ya kile ninachoona ni kwa manufaa ya Tanzania.
Ngoja nikujibuHalafu nyuzi za hivyo wenyewe wanakuwa wabishi kama mshipa.
Ukitaka kufuatilia hilo limeshika kasi lini, hutakosa kuona alama zote zinazo mhusu Samia ndani yake, wakati akiwa Makamu wa Rais, aliye yeyusha "Kero" zilizokuwa hazina kikomo kabla yake.Zamani kati hapa miaka ya 90s na early 2000s... nchi hizi mbili zilikuwa zinatambulika kama Tanzania bara na Tanzania Visiwani.
Sijui ilibadilikaje hii ID.
ILA UMEANDIKA UKWELI KABISA
Kimsingi unasema hakuna Mzanzibari anayeweza kuwa fair kwa Jamhuri ya Muungano kote, atapendelea zaidi Zanzibar.Sijui kama nakuelewa. Sasa hapa Mkuu ndio tuseme unaona umetoa point kali ukilinganisha na issue zilizokuwa raised kwenye thread hii, ambazo sijui ndio unaita ujinga? Kama huu ndio mtazamo wako basi unachekesha sana
First things first, rais wa muungano ni wa Tanzania nzima. Zanzibar ina mambo yake yasiyo ya Muungano inayojiongoza kwa hayo, mambo mengine kama ya fedha, mambo ya nje, etc, ni mambo ya muungano na Zanzibar haiwezi kujiongoza.Ngoja nikujibu
Unamsoma halafu unasema eti huyu naye kajiona ana hoja kaandika post ndeefu imejaa ujinga na hata historia fupi tu ya 1985 imesahaukiwa.
Nikichogundua ni kwamba, Watanzania wengi hawampendi Samia (na mimi siko hapa kumtetea) ila katika kumponda wanatoa hoja za uongo na ukweli. Hiki linasikitisha sana, kwa sababu Samia ana mapungufu mengi, hahitaji kutungiwa mapungufu mengine ya uongo.
- Hueleweki. Inaonekana ni mzito au mvivu kusoma. Unapenda thread fupi. Umewahi kusoma kitabu kikubwa zaidi ya hadithi?
Ukinitungia mapungufu mengine ya kufijirika, unakuwa sawa na mtu tajiri sana mwenye oesa nyingi ambaye hahitaji mkopo, lakini anaenda benki kuchukua mkopo wa riba kubwa sana ili kupata hela. Ujinga.
- Uongo na kweli, sawa. Na unakiri Samia ana mapungufu mengi, sasa kwa nini unalalamikia watu wanapomuandika sana juu yake? Hoja za namna hiyo zinapotolewa utaonekana kuwa na akili ikiwa utajibu thread kwa kusema upi ni uongo na upi ni ukweli. Sio kusema watu wanatoa hoja za uongo na kweli bila wewe kuisaidia jamii upi ni uongo na upi ni ukweli
Ndipo hapo utasikia hoja za kuwa Samia si rais halali kwa sababu hajachagukiwa urais (zinazoonesha huyu mtu hajui katiba, hajui kuwa unapochagua rais unachagua a ticket, not a person) na hoja kama hizi ambazo hazitenganushi abstract thought na individual's problems, hazielewi au zinadharau muundo wa serikali ya Tanzania kikatiba, na kiujumla zina ujinga mwingi tu.
- Huu mfano wako unafikirisha sana juu ya uwezo wako wa kupembua mambo. Kuna ubaya gani tajiri kukopa ili atumie hela ya benki kama atatengeneza hela zaidi? Mtaalamu yeyote wa biashara arashangaa sana kusikia unaita tajiri kukopa ni ujinga. Suala sio riba kubwa, bali ni kama mkopo utaingiza faida. Matajiri wanakopa sana, na ni kawaida katika biashara
Unaweza kusoma thread ukaona ujinga mwingi mpaka ushindwe pa kuanzia wapi.
- Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anaongea Samia sio raisi halali. Hili umelitoa wapi? Hapa nahisi wewe ndio unatunga hoja za uongo
Let's deal with facts. Samia kaharibu hiki na hiki na hiki.
- Acha uvivu wa kusoma na kuishia kusoma vichwwa vya thread kisha kutoa comment. Kichwa cha thread hakijasema Samia si raisi halaloi, bali raisi wa Tanzania ni raisi wa bara, na ukisoma thread utaona hakuna ambapo tumesema kwa hiyo raisi Samia sio rahisi
Sio matatizo imagined kwamba hakuna Mzanzibari anayeweza kuwa fair akiwa rais wa Tanzania.
- Sio lengo la thread hii. Thread hii imejikita kwenye suala la raisi toka Zanzibar kuwa raisi wa Tanzania katika mazingira ya muungano tuliyo nayo
What does that mean, watu wa bara tu ndio wanaweza kuwa fair? Zanzibar si sehemu ya Muungano?
- Anaweza kuwapo. Na hata tunaweza kuwa na Mkenya akawa traisi fair wa Tanzania.Lakini ni sahihi kufanya hivyo? Obama akiwa raisi wa Kenya atakuwa vizuri sana, very fair. Sasa kuna siku Onama atakuwa raisi wa Kenya? Elewa issue, usikurupuke kujibu
Kwa ujumla, nimegundua kwamba huna elimu ya kutosha kuelewa mijadala kama hii. Kama vitu huelewi sio lazima uchangie, hata kama JF inatoa uhuru wa kila mtu kuchangia thread
- Hapana, anaweza kuwepo mtu wa bara kama raisi wa Tanzania akawa far worse kuliko Samia. Lakini sasa atakuwa ni wa bara akiongoza watu wa bara. Na Zanzibar ni sehemu ya muungano na ndio maana tunasema kayika mfumo wa muungano tulio nao mtu wa Zanzibar hapaswi kuwa raisi wa Tanzania
Hakuna sehemu nimesema hivyo, kwamba hakuna Mzanzibari anayeweza kuwa fair kwa Jamhuri ya Muungano. Issue ni kwamba katika aina ya muungano sio jambo jema kujiweka katika hali hiyo. Tunaweza kuwa na raisi wa Zanzibar akawa vizuri kuliko hata raisi kutoka bara. Kwa mfano Dr. Omar Juma, huyu angekuwa raisi bora wa Tanzania kuliko hata Mkapa.Kimsingi unasema hakuna Mzanzibari anayeweza kuwa fair kwa Jamhuri ya Muungano kote, atapendelea zaidi Zanzibar.
This is a value judgement on all Zanzibaris.
You have made the following logical fallacies.
1. Hasty generalization fallacy. Ume generqlize character za Wazanzibari wote bila ya kuwajua wote au kueleza logically tgat this observation is baswd on sonething innately Zanzibari.
2. Fallacy of composition. Bqsically saying that what is true of tge part is true of tge whole. Ukukutana na Mluguru kavaa shati jekundu basi unafijiri Waluguru wote wanavaa mashati mekundu.
Pia, uneweka bias ya Utanganyika. Kama unafikiri Mzanzibari hawezi kuwa fair kwa bara, kwa nini huoni tatizo hilo hilo kwa mtu wa bara kuwa fair kwa Qazanzibari?
Zaidi, umejitoa akili kwenye kuelewa muundo wa sasa wa Muungano, as bad as it is, lakini unatuongoza kuwa rais wa Muungano ni rais wa nchi nzima, serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inajiongoza katika mambo yasiyo ya Muungano tu, kama rais wa Muungano anamchagua gavana wa BOT, ambaye ni mmoja tu nchi nzima, gavana huyo ndiye anaongoza BOT mpaka Zanzibar.
Sasa hapo utasemaje rais wa Muungano ni wa bara tu?
Unaelewa katiba na mambo ya muungano ni yapi?
Hao mabalozi na mawaziri anaiwateua rais wa muungano ni wa bara tu?
Kwa nini unaweka vitu vya kujitungia wakati mambo yako wazi katika katiba?
Unatoka nje ya mada. Elewa thene ya thread. Mlifauluje mitihani yetu, Faiza Foxy hywa anaulizaFirst things first, rais wa muungano ni wa Tanzania nzima. Zanzibar ina mambo yake yasiyo ya Muungano inayojiongoza kwa hayo, mambo mengine kama ya fedha, mambo ya nje, etc, ni mambo ya muungano na Zanzibar haiwezi kujiongoza.
Ndiyo maana Salmin Amour alipotaka Zanzibar kujiingiza OIC alizuiliwa na serikali ya muungano.
Sasa hapo utasemaje rais wa muungano ni wa bara tu?
Hebu yasome mambo 22 ya muungano ambayo serikai ya mapinduzi ya Zanzibar haiwezi kujiamulia yenyewe.
PDF attached.
Pia tulishayajadili JF.
Yajue mambo 22 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa Aprili 26, 1964 ikiwa ni Muungano wa Mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambapo Jamhuri hizi mbili ziliingia mkataba wa Muungano mnamo mwaka 1964 na kuanzishwa Dola ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katiba ya...www.jamiiforums.com
Hapana.Mkuu, mimi siko extreme katika utumiaji wa haya maneno Tanzania bara, Tanzania visiwani, Zanzibar na Tanganyika. Nayatumia interchangeably, kwa sababu jina sio jambo kuu katika suala la mandhali ya muungano wetu. Tunaweza hata kuuvunja nikapendekeza ili kutoharibu brand ya nchi, Tanzania bara tuendelee kujiita Tanzania badala ya kurudi kwenye jina Tanganyika
Currently Bara kunaongozwa na Mtaalamu kutoka njeTatizo Tanzania na mara nyingi Afrika kwa ujumla, tumezoea kufanya mambo kwa mazoea au kwa matarajio kwamba kama leo tumekula basi hata kesho tutakula tu. Ndio maana wengi wetu mambo ya kuandika wosia hatutaki. Hatutaki kufikiri mambo mbele kiasi hicho, au kudhani tukifa leo au kesho kutakuwa ni tatizo kwa familia zetu tutakazoacha. Na mara nyingine hatudhani kama tunaweza kufa leo au kesho!