Munabusule
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 976
- 491
lakini nimetoa hesabu mojaa rahisi sana ndg
makusanyo ya T.R.A kwa mwz now days ni kati ya 1.3 trilion had 1.4 sasa ukichukua 1.3*12 unapata 16.8 trill per year lkn poa soma vema thread yng TRA sio mdau pekee wa bajeti yetu ss kama yy ana uwezekano wa kucontribute 17 trill katk bajeti ya 23 trill inashndkana nn kw vynz vngn kumalizia hlo gape bila kuhtaj pesa za MCC ??
Mkuu watu wavivu wa kufikiria hawaelewi kwamba Magufuli anapokataza pesa kutumika kwenye mambo yasiyo na tija ndiyo reflection ya budget ijayo. Siyo lazima iwe 23 trillion, bajeti ilikuwa ikifumuka kwa sababu ya upepo uliokuwa ukijazwa, ni lazima mfikirie kwa mapana siyo kwa kukariri. Budget ya mwaka huu tegemea kuwa hakuna upepo utajazwa na hivyo inaweza kupungua kwa sababu it is realistic budget, maeneo mengi hayatapewa pesa kama zamani mfani .SAFARI ZA RAIS, MISHAHARA HEWA, SHEREHE ZA NGOMA NA MAIGIZO, UKWEPAJI KODI NAO UTAPUNGUA maeneo mengi yatapewa pesa kidogo, na zingine kupelekwa kwenye vipaumbele. Natabiri bajeti ya Seriakali kuwa ndogo na yenye tija na isiyojaa upupu na chenga nyingi kama wa awamu ya nne