MUNGU anavyo hukumu ni sawa na mwanadamu anae lima shamba lake ili apate mazao, kisha wakati wa kuvuna akapata mazao na magugu mwanadamu huchukua mazao na kuyachoma magugu, hivyo MUNGU huchukua waja wake wema na kuwachoma waovu kwa sababu hana shida nao.Kuna vitu vingine vinafurahisha sana,tunaambiwa mwanadamu anaongozwa kwa dhamira mbili ambazo humsababisha atende mema au mabaya,akitenda mema basi hiyo ni dhamira ya mungu na akitenda mabaya hiyo ni dhamira ya shetani ndio imemutuma.lakini neno hilo hilo linasema Mungu ndio muumba wa vitu vyote hata shetani aliumbwa na Mungu ndio tusema Mungu alimuwekea shetani ndani yake dhamira ya uovu-kwa maana nyingine Uovu unatoka kwa Mungu mwenyewe,sasa ni kwa nini ahukumu binadamu kwa nnn uovu alio uumba mwenyewe??? Uamuvi wa binadamu kuwa upande a au b ni uamuzi ulio ndani ya nafsi yake ambao umetoka kwa Muumba wake!
Kama kweli!Mungu atawahukumu binadamu eti kwa kuwa hawakutenda mema basi ni dhahiri anajihukumu mwenyewe
mbona umeifupisha sana!!?? Yaani fupi mno maana hii stori tamuPole ukhuty inabid iwe ndefu ili msomaji aweze kuelewa kwa undani zaidi.
Story hi niliwahi pia kuisikia kama ilivyo somewhere; the question is, kwanini weusi tunachukiwa hivi!? Kuna viongozi kadhaa ambao nao ni members wa hilo kundi na ni weusi, hivi hua wanajisikiaje wanapodharauliwa na members wenzao weupe!?
Soma upya uelewe.Kuna vitu vingine vinafurahisha sana,tunaambiwa mwanadamu anaongozwa kwa dhamira mbili ambazo humsababisha atende mema au mabaya,akitenda mema basi hiyo ni dhamira ya mungu na akitenda mabaya hiyo ni dhamira ya shetani ndio imemutuma.lakini neno hilo hilo linasema Mungu ndio muumba wa vitu vyote hata shetani aliumbwa na Mungu ndio tusema Mungu alimuwekea shetani ndani yake dhamira ya uovu-kwa maana nyingine Uovu unatoka kwa Mungu mwenyewe,sasa ni kwa nini ahukumu binadamu kwa nnn uovu alio uumba mwenyewe??? Uamuvi wa binadamu kuwa upande a au b ni uamuzi ulio ndani ya nafsi yake ambao umetoka kwa Muumba wake!
Kama kweli!Mungu atawahukumu binadamu eti kwa kuwa hawakutenda mema basi ni dhahiri anajihukumu mwenyewe