ILE KAULI YA SAMIA " KAZI IENDELEE" JE ALIMAANISHA NA KUKAMATA NA KUTESA KUENDELEE ?

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
826
1,356
Huyu mama ambae ni Rais wetu alianza vizuri sana lakini tunapokuja kwenye swala la kutofautiana kimtazamo amekua akitoa amri za watu kukamatwa kuteswa na kubambikizwa kesi za uhaini au uhujumu uchumi....hili jambo lina fedhehesha sana hasa pale ambapo unashindwa kupokea ushauri na mawazo yaliyotofautiana na wewe.
Je aliposema kazi iendelee alimaanisha kuteswa, kutekwa na vitisho navyo viendelee ?
 
Back
Top Bottom