mind ur bussness
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,050
- 740
Ikulu: Rais Magufuli apokea ujumbe kutoka kwa Kagame. Akubali kupeleka Rwanda walimu wa Kiswahiliwataalamu na walimu Wa kiswahili wamesubiri kwa muda sasa kutimizwa kwa kusuidi LA serikali kupeleka walimu Wa kiswahili nchini Rwanda. mbona kimya kimetawala sana? ni lini zitatangazwa? au zilikuwa mbwembwe tu?