IKULU: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa aapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Balozi

speaker alikuwa na dharula ya majukumu ya bunge.mbona alipokuwa akiapishwa nchemba ,hawakuwepo mbona hamkuhoji!!? sio kila hafla za uapishaji ni must mihimili yote iwepo, sometimes majukumu hayawapi nafasi kuhudhuria.
 
Katibu kiongozi na barozi! Mimi nilifikiri mabarozi ni wale wa nyumba kumi na wale wanaowakilisha nchi. Naomba msaada tafadhali kujua ni barozi kwa vipi? Na hicho cheo cha ukatibu kiongozi ili kitimie lazima uwe barozi? Naomba msaada kwa wanaojua tafadhali.
 
Mlio karibu naye Mwambieni watumishi wa nchi hii bado wanapokea mshahara wa Rais wa awamu ya NNE Mh. JK. Hilo atambue na ajipange atawafanyia nini ili kupunguza HUZUNI/chuki na kinyongo walichonacho kwa Serikali yao.
 
speaker alikuwa na dharula ya majukumu ya bunge.mbona alipokuwa akiapishwa nchemba ,hawakuwepo mbona hamkuhoji!!? sio kila hafla za uapishaji ni must mihimili yote iwepo, sometimes majukumu hayawapi nafasi kuhudhuria.
Kaka Ukiwa na Akili za Kichadema lazima Uwe Mwendawazimu. Wao kutwa kucha kuombea Viongozi wetu Mabayatu.

Sijui hata wanashabikia Nini! Hawa viumbe!

Kila serikali Inachokifanya Kwao Nikibayatu. Sijui lipi jema waliotifanyia Watanzania zaidi ya kutujaza Sumu ya kuichukia serikali bila sababu?

Ukiwa huna Pesa Mfukoni Unaitukana Serikali.

Ukiwa na Madeni unaitukana Serikali. Hata ukilalanjaa bado utaitukama Serika. Ndio ujinga waliowajaza baadhi ya watu walio wavivu wakufikiri kwa Undani na wanashikiwa Akili zao na wahuni.
 
Kwani nani kaapishwa? Si alikataa mwenyewe cheo kingine au huyu ni pacha wake?
 
Back
Top Bottom