IKULU: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa aapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Balozi

Balozi Dkt Bashiru Ally Kakurwa anastahili kabisa.
Kuna jina moja limemiss...ingependeza zaidi
Balozi Engineer Dkt Bashiru Ally Kakurwa.
Ma Engineer nao wangeteuliwa kuweka nakshi (kwa nafasi za kisiasa). Hakuna lisilowezekana.
 
Inaonekana hupo organized. Ndiyo maana mara nyingi tunakupuuza.

Bashiru, tangu lini ni balozi? Mtu asiye makini kwenye vitu vidogo, kamwe hawezi kuwa makini katika makubwa.
Wewe ndio haupo organized!!! Kateuliwa Jana vyeo vyote!! Uwe unafuatilia Jambo kabla ya kuhukumu!
 
hata katibu mkuu haa kazi aaziweza zote mweyewe...ata baraza la mawaziri i matumizi mabaya ya uwaziri...lisiwepo chato boy aatosha
 
hakunaga kitu kama hicho. sheria za kazi ziko wazi. lazima uwe balozi kwanza
Ni sheria mpya ama? kuna several former CSs hawakuwahi kuwa mabalozi - either kuwa ambassadors nje ya Nchi au huu "ubalozi" kama wa Bashiru
 
Dr. Bashiru Hongera sana ila tunakuomba uchape kazi bila kumuonea aibu mtu yeyote, uwe imara,usikubali kuyumbishwa, tunakuamini kuwa wewe ni mtu imara sana.

kama ulivyo sema ktk kiapo chako, tenda haki, hakikisha pia watu wote wanatendewa haki bila kunyanyaswa.
 
Hako ka kibwengo ka muhimbili wa bunge ulikasikia kalivyobweka ujumbe wa spika ! Eti supika ameniagiza na anasema;-
NA YOTE YANAONDELEA HUKU NDANI SISI BADO TUPO IMARA
 
Back
Top Bottom