The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,947
CHADEMA bado ina nafasi ya kurekebisha walipojikwaaUmesema jambo moja ambalo wengine tumeliona tangu waliposema "ulipo tupo". Chadema iliposalimu amri mbele ya Lowassa, ilikubali kujiweka katika huruma yake. Ilikubali kufanya compromise ambayo haikupaswa kabisa. Inasikitisha kwa kweli.. jambo ambalo labda CDM wanaendelea kuelea nalo ni kuwa bado mamilioni ya wananchi wa kawaida wana Imani nayo, lakini Imani hii ikiendelea kukwanguliwa ifikapo 2020 nani atabaki nayo?
ila lazima warudi kwenye drawing board
siasa za kipindi hiki ni ngumu sana kwa sababu zinatishia hata ustawi wa mtu binafsi pale akijaribu kutekeleza haki yake kikatiba ya kuwa mpinzani