Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,742
- 40,874
Umesema jambo moja ambalo wengine tumeliona tangu waliposema "ulipo tupo". Chadema iliposalimu amri mbele ya Lowassa, ilikubali kujiweka katika huruma yake. Ilikubali kufanya compromise ambayo haikupaswa kabisa. Inasikitisha kwa kweli.. jambo ambalo labda CDM wanaendelea kuelea nalo ni kuwa bado mamilioni ya wananchi wa kawaida wana Imani nayo, lakini Imani hii ikiendelea kukwanguliwa ifikapo 2020 nani atabaki nayo?