Ikiwa wanaume tunahitaji kusaidiwa kifedha na wanawake je tutabaki na jukumu gani?

Alafu walivyo uchuna kama vile hawapooo. ila hii ingekuwa inawahusu wanawake pangekuwa hapatoshii
 
  • Thanks
Reactions: nao
jamaniiiii wanaume wewe mtambuzi ,nguruvi3,mzizimkavu fanyeni haraka tunashambuliwa huku uwiiiiiii wapo wengi usiku huu hawaja lala
 
Ukizubaa cku hizi wanaume full mizinga hatariii.. MPA unajiuliza huyu kuna future kweli au ndo mtu ujiandae single mama...muache mizinga wanaume tumewajua ubishoo mwingine wakati pesa hamna..
 
Kwanza mie naona adam alikuwa na haki ya kuhudumia eve alikuwa bikra.

Sasa mwanamke sio bikra mie mwenyewe sio bikra nihudumie ya nini wakati wawili tayari tulishakuwa used products.
 
Weeh hujui used car ndio yabidi upeleke garage kila siku? eboo. Used car haikawii kukususia njiani ama kuamua inataka oil ghafla
Kwanza mie naona adam alikuwa na haki ya kuhudumia eve alikuwa bikra.

Sasa mwanamke sio bikra mie mwenyewe sio bikra nihudumie ya nini wakati wawili tayari tulishakuwa used products.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom