Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 14,889
- 43,318
CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake serikali ilitumia bilion 1 kujiandaa kuzima maandamano ya siku moja.
Nilitarajia CHADEMA itoe wito wananchi kugomea kujiandikisha na kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa hivi karibuni kwakuwa serikali imeshindwa kulinda wananchi wake.
Hakuna mtaa au kijiji Tanzania hii CHADEMA au chama chochote cha upinzani kitashinda na kutangawa kuwa kimeshinda kutawala mtaa kwa miaka 5. Labda yatokee makosa ya kiufundi.