Ijue historia ya Wahaya wa Kiziba ''Wenye Kagera Yao''

Kuna jina hapo juu la "mzungu wa kwanza", Emin Pasha.

Hapo si kweli, hilo si jina la kizungu wala si la Kijerumani.

Emin Pasha ni jina linalopatikana amma Uajemi (Iran) au Egypt (Misri).

Yaweza kuwa ni mzungu aliyesilimu?

"Mehmed Emin Pasha" linatamkwa Mohamed Amin Basha.

Mehmed Emin Pasha was an Ottoman-German Jewish physician, naturalist, and governor of the Egyptian province of Equatoria on the Nile...
 
Hapa umejibu point, chunga usitumike
 
Ni muhaya gani alimuambia mzungu, "ngambile enough"? Maana hii story mpaka leo sijapata kuijua vizuri.
Alafu kagera yote asili yao ndio hao waziba?
 
Kuna jina hapo juu la "mzungu wa kwanza", Emin Pasha.

Hapo si kweli, hilo si jina la kizungu wala si la Kijerumani.

Emin Pasha ni jina linalopatikana amma Uajemi (Iran) au Egypt (Misri).

Yaweza kuwa ni mzungu aliyesilimu?

"Mehmed Emin Pasha" linatamkwa Mohamed Amin Basha.

Mehmed Emin Pasha was an Ottoman-German Jewish physician, naturalist, and governor of the Egyptian province of Equatoria on the Nile...
Huyu jamaa alikua mzungu.....German Jewish.....Ottomanism ilikuja when he started working for the Ottoman Empire and adopting Mehmet Al-Amin name.
 
Adopting or Reverting to Islam?

300px-Emin_Pasha_001.jpg

Never heard of any mzungu "adopting" the name Muhammad Al-Amin, unless he embraced Islam.

Indeed and that is what and how those who "hate" Islam when they write history they fear out of shear decease in their hearts to mention such an important point in somebodies life.

See the decease of simply being reluctant to mention Islam or even merely writing the name Muhammad properly.

This is how the history is distorted and we are being fed lies. "Tunasomeshwa ujinga".

The Kagera people have a long history of Islam but none mentions it in this history. Why?
 
Kuna jina hapo juu la "mzungu wa kwanza", Emin Pasha.

Hapo si kweli, hilo si jina la kizungu wala si la Kijerumani.

Emin Pasha ni jina linalopatikana amma Uajemi (Iran) au Egypt (Misri).

Yaweza kuwa ni mzungu aliyesilimu?

"Mehmed Emin Pasha" linatamkwa Mohamed Amin Basha.

Mehmed Emin Pasha was an Ottoman-German Jewish physician, naturalist, and governor of the Egyptian province of Equatoria on the Nile...
Usijali nadhani hapo zamani mtu kuwa na ngozi ambayo si nyeusi uliitwa Mzungu/Mwekundu. Siku hizi ndipo tunatofautisha baada ya dunia kuwa kijiji
 
Si kweli.

Mzungu aliwakuta watu weupe wengine Afrika, sidhani kama na wao waliitwa wazungu.

Tuachane na hilo na tuendelee, jee, alkuwa nani huyo? Ni mzungu aliyesilimu au?
 
Chachu Ombara,

Ningependelea kusikia historia ya Uislam Kagera.

Maana kuna majina umeyataja hapo niyajuavyo ni ya Kiislam, mfano hilo Emin Pasha na nnawafahamu akina Kaitaba ambao ni Waislam.

Isitoshe kuna watu wengi wa Kagera ambao ni Waislam, unaweza kutupa hayo kidogo?
 
Naogopa kujadili nisilolijua. Nilichangia kuhusu uzungu kwa sie waafrika hata watu wenye ngozi kama Mzee Kitilya zamani huku kwetu Uru tuliwaita wekundu/wazungu inagawa ni wachaga wenzetu. Hayo ya dini na kusilimu nawaachia nyie wajuvi wa masuala hayo.
 
Nimekuelewa.
 
Chachu Ombara,

Ningependelea kusikia historia ya Uislam Kagera.

Maana kuna majina umeyataja hapo niyajuavyo ni ya Kiislam, mfano hilo Emin Pasha na nnawafahamu akina Kaitaba ambao ni Waislam.

Isitoshe kuna watu wengi wa Kagera ambao ni Waislam, unaweza kutupa hayo kidogo?
Kagera uislam ni asilimia 0.001 na wenzangu watasema kama nadanganya.
 
Maneno haya kwenye post namba moja yanadhihirisha kuwa utumwa haukuletwa na wakoloni:

Kabla ya wakoloni kuja, Mukama alikuwa absolute ruler, kwa maana kwamba, neno lake lilikuwa ni sheria na ardhi yote ilikuwa ni mali yake.Kadhalika hata watu, mifugo na misitu vyote vilikuwa ni mali zake.
 
Kuna jina hapo juu la "mzungu wa kwanza", Emin Pasha.

Hapo si kweli, hilo si jina la kizungu wala si la Kijerumani.

Emin Pasha ni jina linalopatikana amma Uajemi (Iran) au Egypt (Misri).

Yaweza kuwa ni mzungu aliyesilimu?

"Mehmed Emin Pasha" linatamkwa Mohamed Amin Basha.

Mehmed Emin Pasha was an Ottoman-German Jewish physician, naturalist, and governor of the Egyptian province of Equatoria on the Nile...
Kama kawaida yako lazima uchafue hali ya hewa na udini?punguza uarabu
 
Back
Top Bottom