Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,094
- 38,424
Duuh kumbe ilikuwa sumu? Ngoja namm niongeze kufanya utafiti zaidi wa hili
Ndiyo.Sihitaji Quran ya Google Store.
Kama umeniita hapa, ukifikiri nitapinga Wakristo tu, umekosea sana na hunielewi.
Nina "The Meaning of The Holy Quran" ambacho ni Quran nzima, Kiarabu na Kiingereza, na maelezo ya tafsiri yaliyohaririwa na Abdullah Yusuf Ali.
Kwa hivyo kunifikiria sijaijua Quran na nianze ku download Google Store leo, unaniweka chini sana.
Quran nao ina ujinga ule ule tu.
Katika aya za mwanzoni tu unaambiwa kwamba.
1. Kuna watu wabishi sana kuhusu dini, waumini msibishane nao.
2. Msibishane nao kwa kuwa, Allah mwenyewe amefanya mioyo yao kuwa mizito kumuamini, ameziba macho yao na masikio yao.
3. Watu hawa, kwa kuwa wamezibwa mioyo, macho na masikio wasimjue Allah, hawatamjua Allah.
4. Kisha, Allah atawahukumu vikali sana hawa watu, kwa sababu hawajamjua, wakati hawajamjua kwa sababu yeye mwenyewe kawaziba mioyo, macho na masikio wasimjue.
Hivi mtu na akili zake akisoma hizi habari za Allah anakubali kabisa huyo Allah yupo, na ni Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
Mungu kafa? AstaghafiruLlah.ulichonifurahisha,kwenye coment yako,neno mungu,herufi m,umeweka herufi kubwa,kwetu ina maana sana ili kumtofautisha na wengine,yeye tu ndo huanza na herufi kubwa.waliobakia wote ni ndogo..
haya mwayajualakini mkuu,si ungetafsiri yako,kwa jinsi upendavyo,wengi wametafsiri,mfano mashahidi wa yehova,wakatoliki wao wameongeza na vitabu vingine zaidi,kimbembe ni pale tu,tutakaposimama mbele ya Mzee wa siku.
Salama wana jamii Amani na iwe juu yenu
Nimependa Leo nije na uzi huu juu Sifongo
Na Siki. Jambo ambalo halijazungumziwa Sana juu ya mateso ya Yesu wa Nazareth pia kuna jambo baya alifanyiwa na watesaji ambapo alipewa sifongo yenye siki utajiuliza ni kwanini alionja tu ile Sifongo alikata roho Luka 23:36 na Mark 15:36 mmoja wao alienda mbio akajaza sifongo katika chombo akatia katika mwanzi akamnywesha Alipoipokea akakata roho....
Sifongo ni kitu gani?
Enzi za utawala wa kifalme sifongo. Ilikuwa ikitumiwa na wawindaji na askari vitani kuua wanyama hatari. Kama dubu Simba mbwa mwitu pia ilitumiwa na wapiganaji vitani ambapo hutembea na sifongo siki katika chombo kisha huchovywa ncha ya mshale au mkuki katika chombo na huu tupa ambapo adui hupoteza maisha kwa sekunde chache maana sumu Kali sana(wataalumu wa usiku hizi. Wanaifananisha sumu Kali ambayo hupigwa. Kwenye mashamba kwa ajili ya kuua majani ikiwa haijachanganywa na maji) in short Sifongo kwenye siki ni sumu Kali sana tena sana
Je sifongo katika siki imetengenezwaje?
Kwa kifupi taarifa za awali zinasema hutumia mifupa ya aina ya Fulani ya nyoka na mafuta yake na taarifa nyingine husema ni mizoga na nyongo crocodile lakini haikujulikana taarifa za 100% kua hii ndio hasa ilitumika kutengenezea Sifongo iliotiwa Siki sumu kali sana
Muwe na mchana Mwema
Acha matumizi ya TECNOBasi mimi miaka yote Nadhani "sifongo" ni kinywaji cha kuburudisha kutoa kiu! Kumbe ni simu! Nilishasikia kuwa Nyingo ya mamba ni simu hatari na mfupa wa nyoka ukichoma hata kama nyoka alikufa kitambo sana bado una madhara makubwa kwa binadamu.
Sasa kama huwezi kunihakikishia unajua contradiction ni nini, nawezaje kuendelea kukupa hoja zilizojikita kuonesha uongo wa hoja za kuwepo Mungu kwa contradiction?And don't patronize me kwa kuuliza ninajua hiki au kile!! We jibu tu hoja kwa hoja.
Yaliyompitia Ayubu dunia inaona kama mateso lakini yeye mwenyewe aliona ni fursa ya kutubu na kuongeza ibada!
Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu wenye mafundisho bila mateso?Contradiction hapa ni Mungu ambaye anauwezo wakufanya mazuri bado anachagua kuwafanyia waja zake mabaya??? Hizo unazoziita 'contradictions' ndizo fursa zenyewe kwa waumini kuchukua tahadhari, kutubu, na kubadili matokeo. Maisha yakiwa yamejaa mazuri tu haina changomoto, ni pale kwenye mitihani ndipo haki na batili zinagundulika!!! Na walioshikilia haki ndio wanapata kumjua Mungu vizuri zaidi. So the trials and tribulations are nothing but a process designed to filter out the good from the bad!!!
Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu wenye mafundisho bila mateso?
Unajibu swali ambalo sijauliza, wakati nililouliza hujajibu.Ulimwengu ya mafundisho bila ya mateso pia ipo, watu wengi wanaishi maisha yao vizuri bila kujua shida - lakina kuna mambo mengine unayashika vizuri ukiyapitia mateso na changamoto. A father with an obese child might put him through a harsh regime of strict diet, rigid exercises and strict discipline. This doesn't mean that the father is punishing the child, it's more out of his concern for the welfare of the child. It's same with God, at times he takes extreme measures to bring his creation on the right track! Zote dhiki na faraja zinatoka kwa Mungu na sisi tukiwa na dhiki tunapiga magoti na kutubu na tukiwa na faraja pia tunapiga magoti na kushukuru! Kwako wewe Mungu ni sawa akileta faraja, lakini hafai akileta dhiki!
I must admit it's a total wastage of time kujadiliana na wewe!!!! Hii hoja ya kuwepo kwa Mungu imeshajadiliwa na wadau wengi humu na wengi wamekushinda. Lakini kila unapoona unatapatapa basi unaleta baseless, irrelevant arguments - eti unajua maana ya hii au kile?? Umesoma kitabu hiki? (safuher)kasome halafu njoo kujadili na mimi! Unajua square root ya mbili? (zurri) Hata sijui inaconnection gani na uwepo wa Mungu? Ya kushangaza baada ya kupigwa buti na hoja nzito za wadau, bado unajitokeza na hoja zile zile zilizochoka na zisizonamshiko. Well, you can fool some of the people some of the time, but you can't fool all the people all the time. While we can't deny you your right to express yourself but we can certainly choose to ignore you, and that's what I've decided to do!!
yes, mungu wake kafa. Ila siyo yule mwenye jina la MUNGU maana huyu ni wa kusadikika na hawezi kufa.Mungu kafa? AstaghafiruLlah.
Mungu mwenye sifa ya upendo wote hawezi kuwa na kiburi.Sijui nianzie wapi ila jua kua kuna ambao wakotayari kwenda motoni na ndo hao..afu hawataki kumrudia mungu wao ni viburi ila mungu ni kiburi zaidi yao..
Ktk uislam sifa za mungu ukiachana na hiyo ya upendo ulioing'angania tangu ufungue account jamiiforum sifa nyingine ya creator of universe ni KIBURI.
Na nyie mlio sema mungu kagongelewa kenchi kwenye ubao muje hapa..mnisaidie kumpa majibu Kiranga
Unaweza kuweka aya yenyewe hapa tuisome tuone kama Allah hakusema kwamba atawafanya mioyo yao iwe migumu na kuwaziba masikio na macho yao?
Dah...ndo maana mungu anasisitiza kwa kusema NIJUENI VIZURI(sifa zangu) THEN NDO MNIABUDU.Mungu mwenye sifa ya upendo wote hawezi kuwa na kiburi.
Kinuri na upendo haviwezi kukaa pamoja, hizi ni sifa zinazoji contradict.
Mungu wako ni wa kutungwa, na amefanywa kuwa egotistic.
Kiburi ni weakness, si sifa ya uungu. Si sifa ya intelligence.
Jibu lako linaonesha huyo Mungu katungwa na watu wanaooenda kiburi.
Hayupo katika uhalisia.