Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 76,439
- 121,675
Hahaha. Hapo sasa.yaan unamziba masikio mtoto na pamba kwa lengo asikusikie, af unamwita asipokusikia unamchapa (wakati ulimziba masikio mwenyew kwa kusudi asikusikie)
Unamwonea
Halafu Quran yao imeandika hilo wazi kabisa.
Ukiwabana wanalalamika tafsiri. Hawajui kwamba hata tafsiri, kitabu cha Mungu kuwa na matatizo ya tafsiri ni ushahidi huyo Mungu hayupo kiukweli, ni wa hadithi tu.
Angekuwepo angefanya kitabu kieleweke bila hata kuandikwa.
Ukiwabana sana wanasepa hawarudi.