Ifahamu idara ya usalama wa Taifa - TISS

Mkuu Mushi mbona unatunyima uhondo mkuu funguka zaidi tupate tuition hapa wengine watakukejeli tu, anika uhondo wote hapa kuhusu hiyo taasisi
 
Ifahamu TISS

Madhumuni, kazi na nguvu yao juu ya usalama wa nchi,

Angalieni hapo kwenye vipengele vya nguvu zao na limitation zao,

Kwa ufupi ni lazima wapate approval ya polisi au wizara kuingilia uhuru wa watu

Na vile vile inaeleza wazi wasiingilie uhuru wa watu kwenye masuala ya kisiasa, au matamshi yao kisiasa

Na muhimu zaidi iko chini ya ofisi ya Rais, Ndio hapa tunapoona vigugumizi vya wizara husika,

Kwa kweli sina muda wa kutosha kutafsiri lakini naomba wachangiaji waweze kututafsiria zaidi,

Na malalamiko yetu wananchi yafikishwe wapi, kipengele hicho sikioni, lakini bunge likae juu ya kufanya marekebisho MAKUBWA juu ya hichi chombo

7b1f9e7b3def96039ce3767bc93ad511.jpg
fc0137917af94bffcf8c99014e0a38a6.jpg
106752939dd5d65635e868bd5bddd142.jpg
66c4c3e5a8ba2cf86d91bff79ad13517.jpg

http://www.vertic.org/media/National Legislation/Tanzania/TZ_Intelligence_Security_Services_Act.pdf
Haya tumesha ifahamu tufanyeje sasa ?kesho tuletee na CIA nao tuwafahamu labda watagawa hela
 
1+1= 1

Prove it.

.........'!!kuumiza kichwa kwa vitu visivonisaidia sitak kabisaa
1+1=1
Ebu tufanye:-
a=1,b=1
Hivyo:-
a=b,tuzide kila upande kwa "a"
aa=ba,ebu tutor kwa bxb kila upande
aa-bb=ba-bb kwa kuwa "aa" na "bb" ziko katika vipeo vya pili (squared), Hivyo tukifunga mabano tupata:-
(a-b)+(a+b)=b(a-b),gawa kwa (a-b)
a+b=b, ambapo a=1 na b=1
Hivyo,1+1=1
Proved
 
Ifahamu TISS

Madhumuni, kazi na nguvu yao juu ya usalama wa nchi,

Angalieni hapo kwenye vipengele vya nguvu zao na limitation zao,

Kwa ufupi ni lazima wapate approval ya polisi au wizara kuingilia uhuru wa watu

Na vile vile inaeleza wazi wasiingilie uhuru wa watu kwenye masuala ya kisiasa, au matamshi yao kisiasa

Na muhimu zaidi iko chini ya ofisi ya Rais, Ndio hapa tunapoona vigugumizi vya wizara husika,

Kwa kweli sina muda wa kutosha kutafsiri lakini naomba wachangiaji waweze kututafsiria zaidi,

Na malalamiko yetu wananchi yafikishwe wapi, kipengele hicho sikioni, lakini bunge likae juu ya kufanya marekebisho MAKUBWA juu ya hichi chombo

7b1f9e7b3def96039ce3767bc93ad511.jpg
fc0137917af94bffcf8c99014e0a38a6.jpg
106752939dd5d65635e868bd5bddd142.jpg
66c4c3e5a8ba2cf86d91bff79ad13517.jpg

http://www.vertic.org/media/National Legislation/Tanzania/TZ_Intelligence_Security_Services_Act.pdf

Acha mbwembwe haya bana
 
Ukiona mtu anatoa povu na kuchangia nnje ya mada, jua kaguswa na hana hoja ya kujibu.

Nakupongeza kwa mada maana wengi wetu hata kusoma katiba hatujishughulishi.
 
Back
Top Bottom