nikadhani humu nitakutana na critical analysis toka kwa mleta mada naishia kukutana na Act ambayo kila mtu ana acces nayo.
Tunacopy tuKwann act n za kidhungu na sis ni weusi
Ifahamu TISS
Madhumuni, kazi na nguvu yao juu ya usalama wa nchi,
Angalieni hapo kwenye vipengele vya nguvu zao na limitation zao,
Kwa ufupi ni lazima wapate approval ya polisi au wizara kuingilia uhuru wa watu
Na vile vile inaeleza wazi wasiingilie uhuru wa watu kwenye masuala ya kisiasa, au matamshi yao kisiasa
Na muhimu zaidi iko chini ya ofisi ya Rais, Ndio hapa tunapoona vigugumizi vya wizara husika,
Kwa kweli sina muda wa kutosha kutafsiri lakini naomba wachangiaji waweze kututafsiria zaidi,
Na malalamiko yetu wananchi yafikishwe wapi, kipengele hicho sikioni, lakini bunge likae juu ya kufanya marekebisho MAKUBWA juu ya hichi chombo
http://www.vertic.org/media/National Legislation/Tanzania/TZ_Intelligence_Security_Services_Act.pdf
usisahau pia wanachukua wenzetu kwenda wanapojua wao wakati sisi tumelalaKabisa ..... sisi huwa tunalala usiku wenzetu wanakesha kutulinda .hawanaga pasaka wala idi
Ni kweli hawa watu kiutendaji WANATARAJIWA kuwa bora kuliko Polisihawa ni watu wa utawala bora msiwafikirie vibaya! binafsi hawa ni bora sana kiutendaji kuliko polisi
Umenena mkuu leo nimekupongeza kusimia hii idara nyeti sasa tunaonekana uchi kisa kuhoji mambo yamaaanaHii idara ipo kwa ajili ya usalama wetu wote
jina laoko tu la Mushi linakuhukumu kwamba upo upande gani,,acha ukabila ww..Mkuu hao walikua makini despite mapungufu Yao, lakini siku hizi wamejaa insta...
Na kuonyesha ubabe wa bastola na maguvu hadharani, na kuvamia studio
Kama ww ni raia mtiifu na unafuata sheria na kanuni za nchi kwa nini uogope. Tatizo wengi wetu tunafuata mkumbo kushadadia mambo ambayo hatuna maslahi nayo. Ukitukana viongozi hakuna tija utakayoipata. Mi sijaona mwananchi yeyote anaetishiwa amani labda awe mwalifuTatizo linatumika vibaya!! Lengo ni kutuweka salama lakini sasa linatumika kutisha usalama wa wananchi.
aisee kumbe ndio ilivyo
Mtoa mada akili zako ziko mguuni tujadili kitu tusikokijua ?coz wahusika hawawezi jadili chochote cha zaid kalete uzi mwingne sio ambao wengi wetu tunajua story za vijiweni na sio yale wanayojua wahusikaIfahamu TISS
Madhumuni, kazi na nguvu yao juu ya usalama wa nchi,
Angalieni hapo kwenye vipengele vya nguvu zao na limitation zao,
Kwa ufupi ni lazima wapate approval ya polisi au wizara kuingilia uhuru wa watu
Na vile vile inaeleza wazi wasiingilie uhuru wa watu kwenye masuala ya kisiasa, au matamshi yao kisiasa
Na muhimu zaidi iko chini ya ofisi ya Rais, Ndio hapa tunapoona vigugumizi vya wizara husika,
Kwa kweli sina muda wa kutosha kutafsiri lakini naomba wachangiaji waweze kututafsiria zaidi,
Na malalamiko yetu wananchi yafikishwe wapi, kipengele hicho sikioni, lakini bunge likae juu ya kufanya marekebisho MAKUBWA juu ya hichi chombo
http://www.vertic.org/media/National Legislation/Tanzania/TZ_Intelligence_Security_Services_Act.pdf
Tuambia linatumika vip kama sio story za mitaani mkuu ,,,Tatizo linatumika vibaya!! Lengo ni kutuweka salama lakini sasa linatumika kutisha usalama wa wananchi.